@HildaNewton21 I've said it once, and I will say it again: Bongo hakuna Upinzani. Ni porojo tu pamoja na njaa. Hawa akina Mdee and company wamekaa kimaslahi zaidi. Issue hapa ni mashangingi na posho tu. And I predict kuwa, soon mtasikia wamehamia CCM.
Video ya Mwezi Septemba Mwaka 2019 nilipokwenda kumsabahi Tundu kwa mara ya mwisho kabla hajarejea nchini. Leo nimetamka rasmi kuwa nitampigia kura ya Urais wa JMT
I just published Open Letter to @jack Jack DorseyβββFounder and CEO of @Twitter https://t.co/gOdUppmUuz
Please RT and share the open letter as widely as possible
Twende kazi Twitter republic - mwambieni Jack akomeshe michezo ya kipumbavu inayoendelea humu kufungia akaunti!
Kiongozi kama Rais kubeza #WanawakeWeusi ni jambo la aibu sana!
Karne ya 21, kuongelea wanawake kwa rangi ya ngozi zao ni USHAMBA! Akili, utashi, tabia hayako katika rangi ya ngozi! Kila mmoja wetu ni mzuri kama alivyo!
Ndo maana Nyerere alisema "Kaburu tu!" π#ChangeTanzania