@AllyHapi Nchimbi alikosa nini mkuu......Taifa bado tuna safari ndefu sana kama tuna viongoz wa namna hii....Umekuwa kiongoz ndani ya serikali awam mbili nw upo chamn unajadiri chadame ili iweje???? Tuna changamoto nyingi sana
@lulurobert__@MangiwaKwanza1 Ivi ulichangia kias gn madamu.....unateseka sana juu ya Heche lkn unasahau utaifa wako ni kuwa mzalendo wa mali za umma.....kuna viongoz wanapiga hela za umma...unakomaza kichwa kwa heche jitafakar kwanza
@KelvinGuitar@MtataProMax Ni wizi wa nini au hela za kina nani mbona mkawa wajinga kupitiliza jamn .......chadema inahusika na nini kwenye maisha ya watanzania......kuna viongozi wana hela za kutupwa lakin mpo kimya kama hamuoni mpo busy na Heche jitafakar kwanza
@sukununu01 Wanaridhiana juu ya nini......tumia ata kile ulichopewa na Mwenyezi Mungu basi kijana...why chadema wakati kuna vyama vingn .......unasupaz shingo kama umekatwa kichwa
@sukununu01@joeselasini Ninafikili lingekuwa la kwanza kulzitoa hizo tuhuma ndio upate nguvu ya kusema ilo unalolosema aiseee......ivi ulichangia kias gn.....taifa linaitaji michango ya cdm au taifa linaitaji uwajipkj thn mp kimya tu...wat wa ovyo sana aisee