1. Tumia sanitizer ya mikono au osha mikono yako kabla ya kumgusa mtoto mchanga, hata kama ni mtoto wako mwenyewe.
2. Usimpatie pesa mtoto wachanga, aweza kunyonya vidole vyake baada ya kugusa pesa au hata kuziweka mdomoni.
3. Usimvishe viatu vya kubana watoto, inaweza kusababisha kucha za miguuni kupasuka, Tumia soksi nzito.
4. Usiwabusu watoto kwenye midomo, inaweza sambaza magonjwa mengi ikiwa ni pamoja na herpes na Respiratory Syncytial Virus (RSV).
NB: Mwili wa mtoto hawezi kupambana na maambukizi kama wa mtu mzima hivyo nilazima tuwapiganie.
SHARE FOR LOVE...
Hello #Tanzania students!
🔸Are you aged 21 - 26?🙋🏾
🔸Got awesome English + Swahili writing skills?✍🏾
🔸Mad social media skills?💡
...Then DM us your email for a chance to intern at the World Bank Tanzania office!🚀
⏰DM deadline: Tuesday, March 25, 2024!
Digitalization isn't optional; it's vital for development. Connectivity powers critical services like healthcare and education. Bridging the digital divide can create a more inclusive, resilient, and sustainable future for all: https://t.co/QZxlbVNtCW
🌐📈 #DigitalTransformation
Perhaps the most important principle of success and happiness is contained in the law of forgiveness: You are mentally healthy to the degree to which you can freely forgive, forget, and let go of any negative experience.