Now @UTDTrey has decided it’s the end of an era let’s look at some of his greatest jinx which earned him the title “The Jinx King”
A MUST READ THREAD 🧵
Hawa jirani zetu wa Kenya🇰🇪 hua wanapenda sana sifa na madharau ya kijinga.
Sisi waTZ hua ni wapole na wastaarabu, ila ukicheza sana na mbwa siku 1 atakufata hadi msikitini.
Tuwachape hawa majirani kipigo cha mbwa koko waache mazoea na sisi.
UZI🧵
MAMBO YA MSINGI YA KUYAFAHAMU KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA:
#UZI 🧵
1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.
2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.
3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.
4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.
5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.
6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.
7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wagomvi.
Aina tano za wanawake wa kuepukwa;
(a) Walevi
(b) Wazinzi
(c) Wachawi
(d) Wagomvi
(e) wasio tii
8 .Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.
9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
(a) Nakupenda.
(b) Samahani.
(c) Asante.
10. Kupiga punyeto kwa mwanaume na kujichua kwa mwanamke ni kuharibu mwili wako mwenyewe.
11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama gari bila mafuta. Hamuwezi kufika popote.
12. Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembetatu:
>Mungu mmoja
> Mume mmoja
> Mke mmoja.
13. Furaha ya kudumu maishani hutegemea na chaguo lako la mwenzi katika Ndoa.
14. Usioe/kuolewa na pesa au mali. Oa/Olewa na mtu. Pesa/Mali hufilisika lakini utu hudumu milele.
15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani wala furaha.
16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.
17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa sababu tu anakidhi haja zako kingono.
18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema. Vivyo hivyo kwa marafiki wabaya (Bad company corrupt good character)
19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.
20. Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza.
MUNGU AWABARIKI SANA.
Like na Repost, usisahau kunifollow kwa mengi zaidi.
Tembelea Pinned Post yangu na Highlights kwa nyuzi zaidi.
💨 Yawezekana unataka kununua simu used au umetoka kurekebisha simu yako kwa Fundi
Je utajuaje kuwa hiyo simu haina matatizo yeyote kwenye hardware system zake?
Leo nataka nikuelekeze namna ya kutest kuwa kila feature ya simu yako kama haina shida kwenye hardware....👇🏾
MEN ZINGATIA HAYA NA KUYAEPUKA
1. Usiuze ardhi ya baba zako(urithi)
Kuwa makini pale unapotaka ya kuuza ardhi uliyorithi. Hiyo ni ya uzao wenu na wako. Ukiuza unaweza wapa watoto wako shida usizojua zimetokana na nini. Zab 22:28
2. Acha kujichukia.
Huwezi kumfurahisha..
Uzi🧶
#SUPATECH: Watu wengi wamelalamika betri za kompyuta mpakato kusumbua mara baada ya kuinunua (Laptop), sasa kabla hujanunua kompyuta mpakato ni vyema ukafahamu hili.
MAKOSA 5 TUNAYOYAFANYA WAKATI WA KUCHAJI SIMU.
Tumeona simu nyingi zinakufa betri (battery) kwa mda mfupi toka simu inunuliwe, hii inatokana na makosa ambayo tunafanya wakati wa kuchaji simu zetu.
Makosa gani na nini kifanyike?
Powered by #ElimikaWikiendi
Uzi mfupi 👇
1/14