@Isayadicksonjr Wanaosoma ni wachache mnoo tofauti na mahitaji bado elimu inahitajika mnooo tuendeleee kupeana hamasa ni kiasiria kizuri kuhusu utashi Hilo ni swala binafsi Kwa mtu
@francismtey@ArthurGeil Meku Kuna sehemu niliona kuwa nyoka alilaaaniwa akaambiwa atambaaa na hatokuwa na miguu menaz nyoka hapo awali alikuwa na miguuu
@AbdallaZanzibar@IAmJogoo@TillahBlessed Mi naona
Sioni kama tatizo ni elimu, labda muhusika hakudadavua kwa upana. Kwenye Tourism and Hospitality Law, madhara kama haya yanaweza kutokea ikiwemo faini, fidia, kufungiwa, na kupoteza sifa na huathiri moja kwa moja hotel husika.