@YoungAfricansSC Huu msimamo uendelee hivihivi hadi mwisho maana ikitokea tumelegeza kamba later tutakua hatuna tofauti na wagonjwa wa akili yn... Kukomesha huu upuuzi msimamo uwe huu huu km mbwai iwe mbwai yn no mara wah.. 😂😂😂
@KATAMBUGAH @ayubu_madenge Shule kama hizi maranyingi hupokea watoto wenye ufaulu mkubwa toka darasa la Saba huko na pengine huendelea kuwa na michujo yao ya ndani kwa ndani so sio ajabu kukuta darasa zima lina ufaulu kama huo ilio nao maana tayari wana misingi mizuri toka chini
@MickyJnr__ Sema huyu mwana anatabu sana maana akiirepot spana akiiacha spana ss afanyaje.. Ofc kukosea kupo ila mashabiki wabongo mtihani kwelkwel ku deal nao😂😂😂
@PapiiKhan98@kstar_one9 Hapo anaenda hospitali anakutwa hana anajua ulimchezea akili halafu ane edit majibu anakutumia picha na ujumbe mzito 😂😂 kibao kinakua kimegeuzwa😂
@KibwanaEdgar Wahuni walishadadia kwa Fei wakaona wamemaliza wasijue ndo wamefungua milango ya hovyo... Haya sasa kilichobaki ni kufuta sheria zote usajili uendeshwe kwa busara tu maana ndo njia tulochagua sasa 🚮
@Exquisite_255 Kwa haya maelezo tunategemea kuuona mwezi ukikiwa katika hali inayo fanana katika mwaka mzima. Je kwanini 1. mwezi hubadilika shape na size?! Nini hupelekea hilo?! 2. Licha yakua na speed ndogo kama ulivyo sema.. Kwanini mwezi pia hauna stationary position ya kurise/set kama jua?
@iddynonga_ Uzuri Gamondi marazote huwa anapenda kuwapa moyo mjione noma ili awalipue😂 alikuja kuangalia mechi zenu mkasema anawaogopa akawala mkono😂 akasema sasahivi mtakuja kivingine mkajiona mmekuwa just kuwalabua mbili nyengine 😂 sasa jazaneni tena ujinga😂😂