@darmpya_@MagufuliJP Alitangaza Sera ya viwanda au kaulimbiu? Ingekuwa Sera ingeendelea kutekelezwa Kwa mujibu wa sheria. Kwa kuwa in kaulimbiu, imekufa kifo cha mende ndo maana hasemi tena baada ya kushindwa na kuishia kulaghai watz kuwa tuna viwanda 4000+ kumbe ni saloon za,kike na kiume
@darmpya_ Na rais naye? Si yuko kwenye kampeni miaka 4 sasa? Aliwakataza wenzake, yeye anapeta tu. Mbona jicho hilo haliangalii huko? Acheni ubaguzi mnaopalilia.
@LazaroNyalandu Kila la kheri katika utumishi wako katika kanda yetu ya kati. Mungu akutangulie ili mipango na mikakati ya kuifanya kanda yetu iwe yenye matunda kisiasa itimie.
@OfficialKweka Eti ilikuwa nzuri wakati Bashiru na Polepole wanafanya vikao na mikutano ya hadhara. Walipotoka hali ikabadilika, ndivyo inteligentia feki inavyotujuza. Its pity to have such an institition
@KajalaShabani@ClubMagufuli@Princess_mcute Yaani unapongeza ujuha wa kuwaita ili waisaidie ccm kupata ushindi haramu ktk chaguzi 2019 na 2020? Pongezi kwa kuua demokrasia?? Its pity.
@Nipashetz Hilo baraza lina matatizo. Yaani badala ya kuhimiza,upatikanaji wa vifaa Tiba na dawa ili kuwahudumia watz, wao wanaongelea vitu visivyo na tija?
@PeterDafi@ChangeTanzania@tzyetumpya@ClubMagufuli@JayJayN7@fatma_karume @mamayoyo1 Unapambana na rushwa kwa kufungia vyombo vya habari vilivyokuwa mstari wa mbele kuonesha ufisadi??? Unanunua ndege kifisadi na kuwaziba watu wasisemee ufisadi uliopo?? Ripoti za kifisadi toka kwa CAG zinakaliwa na kumtengenezea zengwe, huku ukiwafanya watu waone unapambana nao??