@John_Pambalu Jana sio leo, maana nyuma waliruhusiwa kwa nia yao njema ila mara hii hawana nia njema hata kdgo, tatizo ni nia zao chafu walizonazo mioyoni mwao
@godbless_lema Mbona km unaaga hivi au umeshapata za ndani za kundi ambalo huendani nalo huko Chadema kua sasa ni zamu yako ???? Munazani watanzania hatujuwi yaliyokuwemo umo ndani ??? Munafikia mpaka kutosalimiana kwasababu ya vyeo tu
@Chieflumanyika Ndio maana mukatumia moyo wake mzuri kumfisudi, acha tuu tuwe na roho mbaya ika nchi isonge, mukiendekezwa nyinyi itatuchukuwa muda saaaana kufika tunakotaka
Tuwatakia kila la kheri katika mitihani yenu, mupate ufaulu mzuri utakaowawezesha kuendelea zaidi na masomo yenu ili muweze kutumia elimu na maarifa yenu kwa manufaa ya Taifa hapo baadae
..
#KijanaNaKijani#TunazimaZoteTunawashaKijani
@ExMayorUbungo Hehehehe eti walienda kama wananchi wa kawaida hii ni kwasababu wamefanya jambo ambalo hamjapendezwa nalo ila wangefanya jambo baya mngewasema kwa nafasi zao za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi, propaganda nyengine ni za kipuuzi mno