@pastajoshuatz Hii code ilikuwa ngumu ila nime ifungua.
Kijana ana potosha wengi na ulimbukeni wa watu wana fall kwa mtego wake. Hela haina kelele, Hela haina drama, Mwenye hela utamjua tu! 🤝
@Daviesalaam Mchina jau ana haribu na wala hashindani. Unawekaje nusu ya bei aliyoweka mwenzio? Hawa jamaa wasipo kuwa regulated hali itakua mbaya mnoo! 😢