Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Marais Wastaafu wa Zanzibar, Mhe. Amani Abeid Karume pamoja na Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kuhutubia katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika Viwanja vya Maisara Zanzibar. @venusnyota
@kigogo2014 We ni mfitini sana na mvurugaji, mchonganishi, mbea, mwizi, mkuda nk hunaga kazi zakufanya? Au we ni jobless unakazi za kupiga mdomo asubuhi mpaka jioni...
TAHADHARI
Huyu anayejiita Mchungaji Msigwa anampango wa kuchoma somo la mashine Tatu Iringa Mjini ili ku fuel mgogoro na ugomvi kati ya Meya ,Mbunge na wamachinga.
Ameshakodisha watu kutoka Mbeya kwa ajili ya kazi hiyo na wamefichwa nyumbani kwa Rose Mayemba Njombe
TUMEWAONYA
Aneth acha UDINI wako huu.
*Mawaziri na Manaibu waziri WAKRISTO ni 32!
*Mawaziri na Manaibu waziri WAISLAMU ni 18!
Ulitaka Baraza zima liwe na WAKRISTO tu.
Unaudini sana. #Tanzania ina waislamu 50% Mbona huwasikii kulalamika? Au si WaTZ?
NONSENSE
Double frypan
Inachoma nyama, inapika viazi bila maji nk
Zinapatikana kwa bei nafuu ya
Tsh, 68000 tu,
Free delivery in dar es salaam
Call us 0753200323 or WhatsApp
https://t.co/sVHMxNGfXm
@SuphianJuma@Nnauye_Nape Hivi wewe unajua maana ya upinzani?,,, kwa hiyo ulitaka upinzani wawe wanabariki kila anachokifanya raisi,,,,, huo ndio ujinga Mlionao hamtaki kukosolewa, upinzani nikupinga nakukosoa kilakitu ndugu kama hujafahamu nenda shulee.....
@Nnauye_Nape Mbowe sio gaidi,,,,,,
Epuka wanasiasa malaya malaya wasiokuwa na uti wa mgongo. Tunamjua zito kabwe tokea enzi za kikwete alikuwa mtu wakujilamba lamba kwa viongozi wa serikali... chama chake nikichaka tu chakuendeleza maisha yke,,,,, hakuna chama Chenye nguvu kama chadema
@Joeselasini@JamesMbowe4@Tigo_TZ@freemanmbowetz Kwa hiyo ulitaka wasilete shahidi au? Tatizo lenu waoga kuukabili ukweli mnakalia ngonjera za kuwa wameonewa.. Mbona namsemi inakuwaje makomandoo wa JWTZ wanajihusisha na mamboya vyama ? Nyie watu aisee
@Ntobi_ Kigogo mnafiki tu hana loloteee ni mkuda flani waswahili wa pwani wanamwita choko, sasa hata hata hadhi yakuwa chadema ni mvurugaji kwanza ukimsikiliza nimtu aliyeadhirika kisikolojia hana lolotee njaa tu ndio inamsumbua
@Mangiwakwanza Mwanasiasa hayawahi mpigania mtu, wapo kimaslahi! Wew kama unaamini mwanasiasa anakupigania broo, umipigwa!! Muda huu wananchi wanawaza namna gani wanapambana na Corona, namna gani wata rescure maisha yao, alafu unawaletea habari ya katiba mpya lazima wapelekewe moto hamna namna!
@Mangiwakwanza Mwanasiasa hayawahi mpigania mtu, wapo kimaslahi! Wew kama unaamini mwanasiasa anakupigania broo, umipigwa!! Muda huu wananchi wanawaza namna gani wanapambana na Corona, namna gani wata rescure maisha yao, alafu unawaletea habari ya katiba mpya lazima wapelekewe moto hamna namna!
@kigogo2014 Hii itawacost Siku 1 ccm, na siku moja wanaanguka wataishia gerezani nje na ndani hawataamini nakufilisiwa hakuna jambo liliwahi kushindikana kama mkoloni na jeshi lake na mitaji yke aliamua kuiacha Africa sembuse CCM tena ya kiafrka
@ITVTANZANIA Hakuna kitu serikali yenyewe ndio imetuchanganya balaaa mara hatutaki chanjo nimapema sana wakaiponda mpaka kwenye vyombo vya habari, leo wanarudi wanataka chanjo bila elimu kimya kimya tuwaeleweje