Semaji amesikitishwa sana leo. Kesho tujitokeze kwa wingi tukapeperushe vyema bendera ya Tanzania 🇹🇿
Video kamili ingia Simba App au YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi#NguvuMoja
Serikali yetu chini ya Mh Rais Samia Suluhu inaendeshwa kwa sheria na katiba sio sheria za Vatican. Haidhuru kwa Maaskofu kutoa waraka wao na kusomwa mbele ya waumini wao, ila hata watambue kwamba hata siku moja, zama za Kanisa kuwa juu ya serikali ziliisha miaka 900 nyuma..
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Ndugu Bernard Membe. Kwa zaidi ya miaka 40, Ndugu Membe alikuwa mtumishi mahiri wa umma, mwanadiplomasia, Mbunge na Waziri aliyeitumikia nchi yetu kwa weledi. Pole kwa familia, ndugu, jamaa & marafiki. Mungu amweke mahali pema. Amina.
Mnamo Aprili 28, Luka Modric alikuwa na jeraha la misuli ya paja na kwa mujibu wa vipimp alihitajika kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki 2-3.
Wiki moja baadaye amerejea katika mazoezi kamili ya timu na anaweza kucheza fainali ya Copa Del Ray.
Kumbuka Ana Umri Wa Miaka 37.