Mahakama Kuu imepanga kutoa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU, Novemba 6, 2026, saa 3:00 asubuhi, baada ya pande zote mbili kukamilisha hoja za mwisho leo, Septemba 29, 2026.
REPOST 200.
The Tanzania police deployed military-grade weapons during the October 29th protests. It’s as though the illegitimate government had declared war on its own people.
Instead of listening to the voices of its citizens, it responded with overwhelming force. The world cannot allow Samia Suluhu to remain in power!!!!!!
@potus@realDonaldTrump@SenTedCruz@SenatorShaheen
1. Hakuna mtumishi wa umma, alielazimishwa kujaza uwanja la sivyo hana ajira.
2. Hakuna aliezombwa na mabasi na kulipwa akajaze uwanja
3. Kila aliefika hapo kafika kwa pesa yake, kwa nguvu yake, kwa mapenzi yake ya nchi yake
4. Kwa ushujaa, maana anajua kufika hapo ni kujenga uadui na wauwaji wa October 29,
@godbless_lema personally nakupa 80% mkutano wa leo. Hiyo 20% ni sababu nimeona hujaonyesha vizuri uchungu wa vifo October 29. Arusha waliuliwaaaaaaaaaaaaaaaaaa, vijana wa Arusha walikufaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Uwiiiiiiiii vijana wa Arusha waliuliwa na CCM jamaniiiiiiiiiiiiiiii @godbless_lema Najua unajua vifo vya Arusha ila unajaribu kuwa stable and strong for the sake of peace ila Watanzania wanhahitaji kuona uchunguuu wa October 29 kutoka kwa wanasiasa wao
Uwiiiiiiiiiiiiiiii,,,, mimi hadi kesho bado napiga ukunga kwa mauaji ya @SuluhuSamia na CHAMA CHA CCM aka chama cha mauaji!!!!!!!
Siku huyu mzee akifa inabidi msiba ufanyike mwezi mzima.
Sidhani kama Tanzania ina Mzalendo zaidi ya huyu Mzee…. Mzee anaji risk maisha yake ili tu kuisaidia nchi, hana chochote anachopata zaidi ya kupoteza.
Nikiangalia anachofanya huyu mzee nazidi kufarijika kuwa I did the right thing kuacha biashara yangu iliyokuwa inanipa pesa nyingi ili kuwapigania watu ambao wamenipa platform.
Imagine kama Tanzania ingekuwa na wazee kama hawa hata 5 tu. Ila ndo hivyo Warioba yupo peke yake, wengine wote either dead or comprised.
Maandamano ya kihistoria siku ya ufunguzi wa Afcon 2027.
Hawatoweza kuzima internet, hawatoweza kujaza askari na mitutu ya bunduki barabarani, hawatoweza ku-lockdown watu.
This is a chance of a life time kuleta haki kwenye nchi yetu….
Tuitumie afcon 2027 kuonyesha dunia kuwa Watanzania tunapambania uhuru na haki kwenye nchi yetu na kwamba tunahitaji msaada wa dunia.
Hakutakuwa na Afcon Tanzania ila kutakuwa na maandamano ya kudai haki…………..
Maandalizi na grassroots campaign zianze sasa.
#FreeTunduLissu
Tundu Lissu has filed for an expedited Court of Appeal hearing in politically motivated treason charges. After close to a year behind bars, his health is rapidly deteriorating -no fair trial, just government delays. Global leaders, act before it’s too late.
Injustices continue 🇹🇿 This man was shot -16 bullets removed from his body -yet those who shot him are still walking freely. No one was ever brought to justice- with daylight gunfire near a government-owned facility… go figure. How can anyone claim kuna haki na amani under such circumstances?
The same man is now suffering in jail while missing critical medical care. If anything happens to Tundu Lissu while detained, those who put him there will be directly responsible. A failing system keeps exposing its flaws to the world.
Yesterday at our church, today, and in the future -we are praying for you Tundu Lissu, praying for your family, and praying for true justice and democracy in Tanzania.
@Europarl_EN@EP_HumanRights@amnesty@hrw@freedomhouse@StateDept@SenateForeign@HouseForeign@NEDemocracy@RSF_inter@pressfreedom@guardian@nytimes@Reuters@AP@BBCWorld@TunduALissu
HISTORIA itabaku vile vile tangu iumbwe TANZANIA haijawahi kuwa na BALOZI MUWAJIBIKAJI kama POLEPOLE
Na huu ndio UKWELI na barua yako ya kujiuzulu ilisema WAZI umeachia nafasi yako kwa sababu ya mwenendo mbovu wa SERIKALI ya CCM chini ya SAMIA
TAIFA LIMEKUKUMBUKA BALOZI
Kwenye historia ya Taifa hili picha hii kila mmoja wetu na mpigania haki wa Taifa hili hataisau sauti iliyo sikika kwenye video ya huyu mama pichani. Mama amuka, amuka mama ,,,, amuka amuka tukimbie😭😭Bado kuna mtu anasem tusiazungumuzie ya October 29.
Cha kwanza tuachane na wasanii na watu maarufu. Watanzania woote tutumie social media kupigania katiba mpya, uchunguzi kutoka nje , accountability, serikali ya mpito na uchaguzi mpya.
Tutumie muda wetu kwenye social media kupiga kelele juu ya serikali hii haram. Tutumie muda wetu wooote kwenye social media kuikataa hii serikali.
Usikubali kujikuta unaandika comment hata moja juu ya topic ambazo hazina mashiko na ukombozi wa nchi yetu, hapa naamanisha acheni kuandika comments kwenye topics za wasanii na maujinga yao. Hakikisha unaweka bando ili kuingia online kuwakataa wauwaji na kupaza sauti juu ya uminywaji haki unaoendelea Tanzania.
Tutumie muda wetu kwenye social media kuiambia dunia kuwa tunashikiliwa na mtutu wa bunduki. Tutumie muda wetu kuomba foreign intervention ili tuwe na nguvu kubwa. Iran wamewauawa idadi ile ile kama Tanzania ila Iran wana trend sababu wa Iran woote wanaopata access ya social media wanachoongelea ni mauwaji yanayofanyika na kuomba msaada wa Trump, sisi Watanzania tunaingia online ku comment Zuchu na Diamond na Ritha wana drama, au Harmo na Kajala au mpira wa Simba na Yanga. Inabidi tubadilike. Hatuwezi kupata ukombozi tukiendelea kupeleka attention zetu kwenye issue ambazo hazina maana kwenye maisha yetu na kwenye nchi yetu.
Serikali ya Tanzania nia ya kishetani kama serikali ya Iran, kuwatoa hawa tutahitaji maandamano yajao yawe tofauti sana na #mo29 . Lazma nchi nzima iwe engaged, hakuna tena maandamano ya Gen Z. Lazma nchi nzima ipewe elimu na ijipange na maandamano at anytime. Nimeona video za Iran mpaka vibibi vimetoka.
Kwa sasa tuhakikishe Watanzania presence yetu kwenye social media ni ya kupambana na serikali haram tu na tusikubali mambo ya wasanii yaka trend maana dunia inatuona wapuuzi, tumepoteza maelfu ya ndugu zetu alafu tunakuwa busy na wasanii? Tusikubali.
The only trending topic Tanzania iwe ni kupambana na Samia, Kikwete na serikali yao haram na kustrategize ukombozi wa nchi yetu. PERIOD.
Nyooooo, kutwa kutusema kina Mange tunatumika na “mabeberu” kumbe yenyewe mpaka yanachota kodi za wananchi ili kujipendekeza kwa “mabeberu”. Imagine kila mwezi wanaiba $45,000 za Watanzania wanawalipa “mabeberu” ili wakawasafishie image yao ya uuwaji kwa “mabeberu’ wenzao
Watanzania hao wauwaji sio kwamba hawawataki “mabeberu”, shida ni kwamba “mabeberu” wameamua kusimama na wananchi. Wao wanataka “mabeberu” wasimame nao wao ili sisi wananchi tubaki wenyewe tushindwe kupambana nao.
“ Mabeberu” wakisimama na wananchi ndio wabaya ila wakisimama nao wao wauwaji wanakuwa wazuri kama Wachina tu.
Na naomba niwahikishie Watanzania kuwa hizi pesa Samia anazipoteza bure tu, wahusika washa make decision ya kusimama na Watanzania na sio wauwaji na soon mtaona majibu. Watatoa milio!!!!!’
Hiki kipande ndio kipande kilichoonyesha dhamira huyu mtu mzima hovyo.
Sikiliza hapo anaposema ‘ Rais wako anahangaika kujua what happened’. Akimaanisha kuwa Samia anahangaika kujua nini kilitokea. Anachojaribu kufanya mzee Butiku ni kumu exonerate Samia na yale mauaji. Anataka kuwapa lawama watu wengine wa CCM ila anajaribu kumsafisha Samia na uongozi wa juu wa chama.
Samia keshasema mauaji Yale yalistahili kutokea na kwamba kaua vizuri mpaka sasa vijana wanaogopa kuandamana Alafu huyu mzee anakuja kisema kuwa Samia anahangaika kujua what happened?
Happy Birthday to Tanzania’s Nelson Mandela. @TunduALissu
He has been in jail for almost a year now on sham treason charges. He has refused to sell his soul for his own freedom or money.
Tanzania take heart, we shall win against the evil CCM regime that has survived for so long by terrorizing its own people.
Tunahitaji SC Tundu Lissu aachiwe huru mara moja tena bila masharti. Muuwaji Samia hana sababu ya kumtupa Lissu jela wakati yeye anapeta uraiani ananuka damu za watu.
Free Tundu Lissu Now!
Kuna vikosi vya wauaji vimeingizwa Uganda vikitokea Tanzania kwenda kumsaidia Museveni kurudi madarakani kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika kesho, Vikosi hivi vipo chini ya Abduli (Mtoto wa Samia).
Hofu kubwa imetanda nchini Uganda ikizingatiwa kitendo cha kuzimwa kwa Internet nchi nzima, Hivyo kupelekea Waganda kuingia kwenye uchaguzi kesho wakiwa gizani, Kuna kila dalili dunia kushuhudia Museveni akitumia mkono wa chuma kama alivyofanya Samia Oktoba 29.
Uganda is in the dark with the internet shut down. Several incidents of ballot stuffing have been recorded. The regime military and police is directly involved in repressing our agents at polling stations. On top of abductions, the regime forces are targeting our leaders across the country!
#FreeUgandaNow
jaji mkuu anataka aonekane anasimamia haki na msingi wa uhuru wa mahakama. analalaje usiku akijua serikali imemuweka kizuizini kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, siyo kwa kisingizio kingine chochote kile bali matakwa ya watawala? masaju aache maneno mengi, ashughulike na hili!