Fact-checking anything & everything about Tanzania since Nov 2017. Helping to keep govt officials, politicians honest. Not affiliated to any political party.
Gazeti No.1 Tanzania linapoamua kuwa Habari ya Nape inauza kuliko habari ya Mbowe ni ishara kuwa sasa muda umefika Mbowe apumzike. Mk'ti CHADEMA awe Lissu, Katibu Mkuu arejee Zitto wampe tufufue upinzani
Gazeti No.1 Tanzania linapoamua kuwa Habari ya Nape inauza kuliko habari ya Mbowe ni ishara kuwa sasa muda umefika Mbowe apumzike. Mk'ti CHADEMA awe Lissu, Katibu Mkuu arejee Zitto wampe tufufue upinzani
@AtikiAbdulkarim@IsmailJussa Wewe kama political scientist tafakari maana ya kauli ya "tumaini la taifa" kwa kiongozi wa CUF kwenda kwa kiongozi wa CHADEMA. Ni dhahiri CUF wamesubmit kuongozwa na CHADEMA bara
@IsmailJussa "Tumaini la taifa" ni maneno mazito sana. Tafsiri yake ni kuwa hakuna zaidi yake. Sasa nyie CUF ni tawi la CHADEMA siyo, hamna viongozi wanaoweza kuwa tumaini la taifa bara zaidi ya huyo wa CHADEMA. Pathetic! Mmeiuwa CUF bara nyie Wallahi
@IsmailJussa Ndiyo maana Prof Lipumba alishtukia kuwa CUF bara inamezwa na CHADEMA akajitoa Ukiwa. Haiwezekani viongozi wa CUF walio serious kushika dola bara wakubali kumezwa na CHADEMA @Julius_Mtatiro
@IsmailJussa Siwaelewi nyie CUF Zanzibar. Iweje mbunge wa CHADEMA awe "tumaini la taifa" lenu. CUF bara hawana viongozi wenye tumaini? Lowassa naye vipi? Je CUF Zanzibar ni tawi la CHADEMA?
@yose_hoza @BennyCWH Hakuna nchi yoyote duniani ambapo uchumi hupanda tu mfululizo kila robo, nusu au mwaka mzima. Uchumi huenda kwa kupanda na kushuka kutegemea na mwenendo wa biashara. Hata enzi za JK ilikuwa hivi, hata uchumi wa nchi nyingine popote duniani hupanda na kushuka
@yose_hoza@Semkae Uchumi umekuwa kwa 6.8% nusu ya kwanza ya 2017 kulinganisha na 7.7% nusu ya kwanza ya 2016. Lengo la mwaka mzima wa 2017 (nusu ya 1 + nusu ya pili) ni uchumi kukua kwa 7%. Lengo la awali ilikuwa uchumi utakuwa 7.2% kwa 2017.
Hatimaye @tundulissutz au @TunduLissu anaanza kupata akili sasa. Kwanza alitamka maneno ya hovyo kabisa kuwa nchi ya Tanzania itengwe na inyimwe misaada kama "skunk of the world." Sasa amejirekebisha na kusema serikali ndiyo itengwe. Right or wrong, my country first!
Fact: Kenya banned registration of churches and later allowed churches to be registered by imposing strict regulations to restrict them from meddling in politics. Religion + politics = oil + water
@SindbadSimba @Chahali@MarekaMalili@Kiganyi_ Why not? Kama kiongozi wa umma, mfano mbunge, anavunja sheria za nchi kwa kutojaza fomu za kutaja mali na madeni kila mwaka, lazima aliwe timing deadline ya Dec 31 ikipita achukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria iliyopo ya maadili
@MsigwaPeter What are your goals as CHADEMA leaders? Why do you always react to perceived problems of Magufuli/CCM. What is your vision for Tanzania? @zittokabwe (1 man) is doing much better than CHADEMA as a whole party
@FactcheckTZ@IsmailJussa THAT'S WRIGHT GOD MADE US WITH BLOOD AND SOIL MAN AND WOMAN AS A PASSER BY IN THIS WORLD ,SO WHY WE HAVE TO HATE EACH OTHER ?LET'S UNITE ZNZ
@YerickoNyerere_ Mfano, kama wewe ni mkulima na hujawahi kusomea au kufanya kazi ya siasa, hauna mamlaka ya kuandika kitabu cha siasa. Je, wewe nini elimu + uzoefu wako wa fani ya ujasusi? Swali jepesi tu hili
@YerickoNyerere_ Mamlaka ya kuandika suala fulani hutokana na ujuzi wako kwenye suala hillo ambao hutokana na elimu yako au/na uzoefu wako wa kazi. Ndiyo maana nikauliza nini elimu + uzoefu wako wa ujasusi ili uwe mamlaka ya kuandika kitabu? Kwa nia njema tu