@EduTalkTz Kitu haiwezekani kabisaa nyie waumini wa kikristo munaliwa hela sana kizembe mdomana wanatajirika hao mwamposa kwq kuuza maji ya kunywa ktk glass
@Sativa255 Yaani Leo hii tuimbe Mpina ni mpenda haki?
Tangu lini CCM akawa mpenda haki,
-kwahiyo tumesahau alivyoharibu mali za wananchi kipindi yupo kwenye uwaziri
@YerickoNyerereT Kaka naww umepewa kandarasi ya kueneza huu ushenzi unaoendelea wa kutulaghai juu ya Hao unaowaita viongozi wanaohama chama na kwenda huko upande wa pili?. Nguvu unayotumia kupost Hao shwain ungetumia kufikisha ujumbe wa @NoreformsNoelection
@RahmaMwita Rahuuuuuum Hotuba hiii, ama kuna Nyingine...
Kama Hamis-Tale Tale kaweza wewe huwezi Kushindwa. ๐
Ubunge wa Tanzania Hauitaji Elimu Saaana ๐
ni ProperGanda Mbili Tatu Kwishaaa..
Hata Ile Misingo Digit ya Kwenye Mikataba ikija Tunaikwepa kama BabuTale
@MariaSTsehai@Joshua_Onsase Ccm kupambana na upinzani ni jambo gumu sana kwao bila kumwaga damu na kuwalipa mishahara lk 5 watu wa chini kuwapa mikopo kuwapa ajira ya kuwanyoa mapara vijana wawe makamanda lkn bado Serikali haikubaliwi na wananchi