Founder & MD at Semoki Farms Ltd | Agripreneur
Focused on crop and livestock production, trading agri-produce, and training the next generation of farmers
@fariji_dee23 Hakuna jibu bora kwa watu wote kwenye hilo swali, inategemea tu kwanini unafuga na unafuga nini, wapi ,ukubwa wa soko lako na budget yako ipoje, baada ya hapo ndiyo utakuja kwenye kwanini ununue ama kwanini ukodi shamba
@Sirajitz1 Usijekuwa ulisikia mwanamke mweupe ndiye hupewa ng'ombe wengi kwenye mahari-haipo hivyo, cha kwanza ni stability ya familia anayotokea ndiyo inayoamua mahari iweje, mengine ni madogo madogo weupe ni dili ndogo mno
@BuffaH65 Tofali la choma lina gharama ndogo ya kwenda dukani, linaweza kuwa na gharama lakini siyo ya kununua kifaa dukani, watu hununua kinachotangazwa kuuzwa, na hufuata mfumo uliotengenezwa na wauzaji, tofali la choma ni bora kuliko la cement, udongo haufi
@MamboBondeni@MarekaMalili Mbuzi hazai mara tatu, nazaa mara mbili ndani ya miezi 13-14, hesabu rahisi unaweza kusema 1.5 kwa mwaka, mimba ni miezi 5 (siku 140-151)
@ChabaJun@MarekaMalili Hao mbuzi wako wakoje, wa kwangu wakifunguliwa wakashuka kutoka bandani, wanalala tu hapo nje kwa muda wanacheza cheza mpaka watolewe kwenda kuchunga, otherwise wanaweza kubaki hata 30minutes, mbuzi wanapenda michezo
@ibalefav Kama unataka kuingia kwenye sector ya kilimo na mtaji ni mdogo (knowledge, skills, resource, network, pesa) ni bora zaidi kuanzia kwenye kununua mazao yaliyolimwa tayari, ni njia nzuri ya kupata cashflow na kukuza mtaji, ila pata mwalimu ,anzia sokoni hapo,
@YeeTtheOTC Kwa maelezo mafupi, anzia sokoni.
-nimetolea mfano wa nafaka, chagua aina mojawapo ya nafaka, tembelea sokoni. Ongea na wauzaji wakupe a,b,c. Angalia namna ya kuweza kujifunza kwao, hata kama ukianza na gunia mbili za mchele, usiende kwa wakulima bila kujua utakuja kuuzia wapi
@chapanombombwi Bei za mazao ya chakula hazipandi bei kama ilivyo kwa bidhaa zingine hasa kwa kipindi cha mavuno ,ambapo mkulima ndiye ana mzigo, sababu ni kuwa wakulima wengi hawana mtazamo wa kibiashara, wanauza tu muda wowote ili mradi wapate hela ya kutatua mahitaji yao ya muhimu na starehe
A farmer was really blunt with me today. He asked, “Why do you keep farming vegetables when you could easily do garlic ,Tomatoes or onions? You have the Land,money, water, and skills.”
The reality is ,many farmers follow trends instead of thinking like business people.
They look down on crops that give “less profit,” even if those crops are consistent.
They’d rather risk it all with tomatoes or onions just to feel they’re farming a “premium” crop.
Here’s the truth.
A profitable farm isn’t about size or growing high-end crops. It’s about one simple rule,multiply whatever you invest.
If you put in 100 and get 120, that’s profit. But some farmers invest 1,000, harvest crops worth 800, and still feel like they’ve “won” just because it was a premium crop. That’s not business.
Farmers, here’s my honest advice.
-Always have a less risky crop in the mix. Forget the hype.
-Vegetables like sukuma wiki,Hoho or spinach are forgiving. You harvest for months, and even if you miss a few weeks, you’ll still earn for 20+ weeks.
-Crops like tomatoes? One bad harvest and you’re wiped out. It’s one shot if it fails, you lose everything.
Start with the market.
Before planting, ask,Who will buy this?
How much?
When?
The market is your compass, not trends or what your neighbor is planting.
#LetsGrowTogether
@sufyanihamad@haroldmafita97 Siyo sahihi sana, watu wengi huwa hatuulizi, tuna -generalize kuwa watu waliofanikiwa hawasemi siri zao, siyo kweli kwa kiasi kikubwa.
-ni mara ngapi asiyefanikiwa anauliza mbinu za kufanikiwa kwa waliofanikiwa ?
@haroldmafita97 Sure yeye anakuwa ameshafanya kazi yake ya mauzo, hatuwezi kumlaumu muuza mbegu (za mazao au wanyama ) maana yeye kazi yake ni kuuza, kazi kwa mnunuzi kujua jinsi ya kununua