UMRI WA MIAKA 25 - 40+
1. Upweke unakuwa sehemu ya maisha na Unagundua kuwa matatizo yako mengi lazima uyatatue mwenyewe kimyakimya.
2. Marafiki wanatoweka. Kila mtu anakuwa busy na maisha yake
3. Majukumu yanaongezeka
4. Muda unakimbia kwa kasi zaidi.
5. Makosa yanakuwa ya gharama kubwa. Unatambua kwamba huna tena muda wa kufanya majaribio au michezo
6. Ndoto za kufikirika zinafika mwisho. Uhalisia wa maisha unatawala, unatafuta amani zaidi kuliko kitu chochote
Huu Umri unatakiwa kuwa mpole na maisha na kubaki mtulivu katikati ya dhoruba hii yote na kusonga mbele bila kukata Tamaa
#TajiriLaKihaya
Nlivyoona tu kikosi…
Bench yetu ilikua imeshiba saana… ilhali PSG walianzisha wachezaji wao Nyota wote….
Nkajua ARTETA ameshafikiria EXTRA TIME!
Wamemtoa DEMBELE Na yule mwenye jina Gumu…
Sasa ngoja tuwapige…
Ndio tunaanza kucheza mpira🙌🏾🙌🏽🙌🏾
Mpaka sasa sijasoma hata moja toka wameanza juzi, nimeweka bookmark tuu nikajua itaisha mapema nisome ila mlolongo umekuwa mrefu, kwahiyo ni kweli au anasingiziwa?
BRO TO BRO
Kuna huu Umri wa miaka 25 - 35+
Hiki kipindi ambacho unakutana mapambano makali zaidi, sio dhidi ya ulimwengu, bali dhidi yako Mwenyewe.
Huu ndio umri ambao unavunja mnyororo wa tabia zako za zamani na kuinuka, au unabaki kuwa mfungwa wa maisha yako ya nyuma
A random Saudi Arabia football match between Al Nassr and Al Hilal is averaging more views than the El Classico.
More people tuned in online like it’s the FIFA World Cup final.
All because of one man.
Cristiano Ronaldo.