Mambo yanaenda kwa kasi sana.Ule mzozo wa muda mrefu wa Iran na saudi Arabia china kaumaliza ndani ya wiki moja kwa kuwaweka kikao kizito.Kila mmoja yupo tayari kufungua upya Ubalozi kwa mwenzake.Yemen patapoa sasa
#Behindthescene
Best Friend ilikuwa na Dakika 8 hii vawulence 🔥 imeongezeka Kidgo ina Dakika 11 na sekunde zake.
Mwishoni huko ni maujuzi tu kwani mlihisi mimi namjua Gordon Banks au God's hand! Nimemjulia humu humu.
By the way ngoma iko YouTube kwenye channel ya Dizasta Vina.🔥
Poll