"The company also claimed that Mr Kakoko had skipped parts of the negotiations and alleged key parts of his statement to the media comprised “fake and fabricated information.”
https://t.co/SiGg0khTdc
Uandishi wa habari si uhalifu Tanzania na duniani kote. Sio sawa, na haikubaliki, kumtesa mtu yeyote kwa sababu ya fitna, chuki na visasi. #FreeErickKabendera
Meko lazima aelewe its not true and ideal that always power will come from the barrel of a gun as or case today.There is a realistic alternative to violence!Asome 👇🏻
*India - 1947
*SA-1980s
*Philippines- 1986
*Poland-1989
*Thailand- 1992
*Serbia-2000
*Lebanon-2005
*Ukraine-2004
"Viongozi wengi vijana wa sasa hawana staha, adabu na heshima. Ukitoa hoja zako, kwa sababu hawana staha, adabu, na heshima watakufuatilia wewe. Ndiyo maana siku hizi tunaogopa kuzungumza na vyombo vya
habari."- Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba
HT: Mwananchi
Mwaka 2019 umekuja na Neema zake licha ya misiba kadhaa. Mwaka umewadhihirisha watu Jasiri kama Prof. Assad, Jaji wa Taifa Sam Rumanyika na leo Kijana wetu Bob Chacha Wangwe amepata hukumu ya kihistoria kutoka kwa Majaji wenye Busara. Tunamshukuru sana Mola
I was deeply honoured to be awarded an honorary Doctor of Laws degree from Andrews University in Michigan, USA last Sunday. I also had the honour of giving the commencement address during the graduation ceremony.
"Tanzania’s economy will expand at 4 percent this year then accelerate slightly to 4.2 percent next year, from an estimated 6.6 percent in 2018, the Fund said in its forecasts."
https://t.co/jO6rLMEdJJ
Ni hivi.. tuwekeane hapa majina kamili, jimbo na chama cha wabunge wote wa Kamati ya Maadili then 2020 tukumbushane ishu ya CAG
#MwenyeNchiNiWananchi#ChangeTanzania
Vipi ugomvi wa Spika na CAG unatumika kusitisha majukumu ya kikatiba ya Bunge ya kuisimamia Serikali kupitia Kamati za PAC na LAAC zenye wajibu wa kuzifanyia kazi ripoti za CAG zinazohusu matumizi ya Serikali? Kuna nini nyuma ya pazia ambacho wakubwa wanajaribu kukificha?
The crusade against critics of the regime has spared no one in the country from the media, civil society organisations, farmers, fishermen, pastoralits, the business community, workers, faith leaders, the diplomatic corps, women and girls, and even critical CCM members.
religious leaders have to rethink the messages they give in their sermons on Fridays & Sundays
it's cool to remind people of hell & heaven, but the streets have got numerous other problems to talk about
we got pollution, crime, income inequality etc, they need to talk 'bout'em!