@LusatoKanyika@Iam_Malunguja hakika broh hakuna jipya apo nyoka ni nyoka tu ni sawa na machinga walioprint ma t-shirt et machinga na mama damu damu leo hii wanalia na kusaga meno mama yao hakumbuki kama ana watoto wanaitwa machinga
@Sativa255 HIVI HAWA WANAOPIGAGA MAKOFI HUWA WANAELEWA KINACHOZUNGUMZWA KWELI? mana sio kama jambo la kupigiwa makofi zaidi wangetakiwa kumhoji vyombo vya ulinzi vinakuaje mali ya CCM na kwa KATIBA IPI? ila kama huyu nae ni wazir au mbunge kudadeek tuna VILAZA sana huko JUU YAN OVYO KABISA
@msimkwanza@Jambotv_ unasemaje hamna agenda wakati chama ndio kinazungumza? hujui kuwa akiongea huyo chacha ni CCM ndio inaongea, HIYO NI CCM INAFIKISHA UJUMBE BROH
@DikupatileZomwa@Roma_Mkatoliki hiyo habari hata mim sikuiamini ila nkajaribu kuwauliza watu wakubwa maeneo hayo wakanambia ni kweli alipigana maji maji na pia anafahamu mambo mengi sana
@TheRealSabai@Roma_Mkatoliki hiyo habari hata mim sikuiamini ila nkajaribu kuwauliza watu wakubwa maeneo hayo wakanambia ni kweli alipigana maji maji na pia anafahamu mambo mengi sana
Nimekusoma kwa miaka mingi. Leo, kupitia final submission yako, nimeona tena kwa nini nimekuwa nikikuchukulia kama kitabu cha kujifunza—hasa kuhusu ujasiri wa kusimama na kutetea unachoamini kuwa ni kweli.
Mungu akipenda, utaendelea kuishi na kushuhudia ukuu wake.
Tundu Lissu—si muhaini.
Wenye utu, semeni Amina.
@tanpol ukiiaoma hii taarifa utagundua jambo moja EIDHA MTOA TAARIFA HANA AKILI TIMAMU AU SISI WAPOKEA TAARIFA NDIO HATUNA AKILI TIMAMU. lakin inawezekanaje mtu mzima atembee na toi au huyo mwenye toi na yeye hamnazo
@HarryGodfirst@SuluhuSamia ukiiaoma hii taarifa utagundua jambo moja EIDHA MTOA TAARIFA HANA AKILI TIMAMU AU SISI WAPOKEA TAARIFA NDIO HATUNA AKILI TIMAMU. lakin inawezekanaje mtu mzima atembee na toi au huyo mwenye toi na yeye hamnazo
@JamiiForums ukiiaoma hii taarifa utagundua jambo moja EIDHA MTOA TAARIFA HANA AKILI TIMAMU AU SISI WAPOKEA TAARIFA NDIO HATUNA AKILI TIMAMU. lakin inawezekanaje mtu mzima atembee na toi au huyo mwenye toi na yeye hamnazo
@eastafricatv ukiiaoma hii taarifa utagundua jambo moja EIDHA MTOA TAARIFA HANA AKILI TIMAMU AU SISI WAPOKEA TAARIFA NDIO HATUNA AKILI TIMAMU. lakin inawezekanaje mtu mzima atembee na toi au huyo mwenye toi na yeye hamnazo