@ChademaTz@tumeuchaguzi@TunduALissu Kama uchaguzi huu hamkuuwamini sasa mnataka kuaminishwa na nini? acheni maisha yaendelee shida yenu amepigwa mpaka boss wenu Mbowe
@ChademaTz@tumeuchaguzi@TunduALissu Me nazani mrudi na mjitathmini mlikosea wapi, sababu wananchi waliwaamini wabunge wenu na wakawapa majimbo yakutosha ila mmegeuka shubiri na kuwatesa mnakazi ya kupinga maendeleo tu katika bunge hamsemi kilicho wapeleka
@ChademaTz@tumeuchaguzi@TunduALissu Kwa mlioyafanya kwa wananchi hakuna mwananchi mpumbavu kiasi hicho akawasikiliza mmekuwa viongozi wa mitandaon sio kwa wananchi na matatizo yalianzia hapa