“Nimekuwa kwenye active Politics za CHADEMA tangu 2009, hatujawahi kufanya Operation kubwa kama hii. Jimbo moja tunafanya kila kata, Kila kijiji. Tunashambulia kama Mchwa” John Heche, kwenye Maria Space.
Kioo cha Haki
Kikao cha Hekima
Sababu ya furaha yetu
Chombo cha neema
Chombo cha heshima
Chombo bora cha ibada
Waridi lenye Fumbo
Mnara wa Daudi
Mnara wa Pembe
Nyumba ya Dhahabu
Safina ya Agano
Mlango wa Mbingu
Nyota ya Asubuhi
Afya ya Wagonjwa
Kimbilio la wakosefu
Utuombee!🙏
LITURUJIA YETU:
Wakati wa MISA TAKATIFU, inaposaliwa sala ya "BABA YETU", anayepaswa kufungua/kupanua mikono ni mwongoza Ibada (Celebrant) tu na sio waumini.
Mke wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Mchinga, Salma Kikwete akifurahia jambo na mtoto wake ambaye ni mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bungeni, Dodoma.
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv. @Mwabuk2Boniface na @mdudechadematz wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO.
Ndugu Merdad Kalemani.Fahamu kwamba bado tuna kumbukumbu ya kamera zilivyo ondolewa nyumbani kwako baada ya tukio la kushambuliwa kwa risasi Mh Tundu Lissu.Usichokonoe kidonda kibichi. Nani ametuma wahuni kuchoma gari la CHADEMA moto?Tuko connected mpaka vyumbani mwenu.
Nyehunge-Buchosa. Hapa mbunge ni @ericshigongo na lazima ajiulize, ni kweli 2020 alishinda uchaguzi au alipachikwa? Anyways, hapa siyo mjini, ni kwa wakulima wa pamba, na tumezungumza lugha moja, tumewlewana, hawaitaki CCM.
Gari ya CHADEMA Ford Ranger T 658 DQL imechomwa moto saa 1:10 usiku, Chato
Steven Wasira ni mtuhumiwa wetu namba moja baada ya kauli zake alipoelekeza watu wa Chato kwamba ‘wanajua nini cha kufanya’
NB; Mkutano utafanyika CHATO. Kaburi la Magufuli tutatembelea, labda mlihamishe
Captain Ibrahim Traoré, mwenye Miaka 35
1.Rais Mdogo Kuliko wote Afrika
2.Amepewa tuzo na nchi za BRICS
3.Ameifanya Russia ifungue Ubalozi Burkina Faso
3.Ameondoa Vikosi vya Ufaransa huko Burkina Faso
4.Amezuia Usafirishaji wa Uranium kwenda Ufaransa na US
Kwamba mnatuona sisi hatuwezi kuwanyia hivi ccm? Kwamba tutashindwa kumfanyia hivi Kinana katika ziara zake? Huo uwezo tunao lakini tunaamini katika hoja na hatuamini katika huu ujinga ila mkitulazimisha tutafanya na madhara yake yatakuwa serikali kuanguka. Endelea kututia hasira
“Kuna kipingele kwenye Mkataba Hakizungumzwi sana, “Early Project Activities” Yaani kuna shughuli zitaanza kabla ya Utekelezaji wa Mradi, Sina Ushahidi Lakini 80% Shughuli Hizo zimeanza, Ni hatari unamruhusu vipi Mtu kuingia kwako Kukuchunguza kabla ya Utekelezaji?” - @IssaShivji