Mchongo utekaji Mwanza
- Wasiojulikana walivyomnasa Katibu Bavicha
- Msigwa aonya wakuu wa taasisi za serikali
- Mbinu 101 za Chadema kuzuia Uchaguzi Mkuu
https://t.co/lOESWJUtTF
@LKabugumila@Sisimizi3 Nadhani una fahamu kuwa Tundu Lissu alikuwa Mbunge na Dada yake alikuwa Mbunge wa viti maalum ambaye pia alikufa akiwa mbunge. Hiyo picha ilikuwa siku ya kuaga mwili wa Dada yake ndani ya viwanja vya Bunge Haina uhusiano wowote na kilichoandikwa.
@MalisaGJ_@MwananchiNews Ndugu Malisa najua unayo nafasi ya kupata ukweli wa jambo hili ukitaka kupitia kwa Malya Wakili wa Mh.Mbowe, ukifanya hivyo hii makala yako utaiondoa hapa maana utajua ukweli. Hii habari ya Mwananchi ipo sawa.
@nhiftz@ummymwalimu@wizara_afyatz@TZMsemajiMkuu@maelezonews Hivi mzazi ambaye mtoto wake hayupo shuleni na hana uwezo wa kununua hicho kifurushi cha malaki!afanyeje!?. Hivi hamuoni hayo maumivu ya watu!?. Watu wanavupato vidogo sana hawezi kuimili hivi vifurushi. Saidieni Taifa hili kwa watu wanyonge.πππ
@VodacomTanzania Songesha tunaitumia lakini!ina maumivu ni kama ile mikopo ya uswahilini ya kamua damu hasa hii riba ya kila siku. Muhimu liangaliwe hili.