Kiongozi anayejali wananchi wake bila kuzingatia jinsia, dini, muonekano wala hali za ulemavu. Hakika Tanzania tumepata bahati nzuri ya kuwa na kiongozi huyu. #MamaYukoKazini
@Jambotv_ Hapa ni Mpanda hotel manispaa ya mpanda mkoani katavi maeneo ya viwandani haya mahindi yamefyekwa Kwa madai yamelimwa ndani ya manispaa yanaaficha wezi karibuni hekali nne.
@IAMartin_ Hapa ni Mpanda hotel manispaa ya mpanda mkoani katavi maeneo ya viwandani haya mahindi yamefyekwa Kwa madai yamelimwa ndani ya manispaa karibuni hekali nne.
@mshambuliaji@Gerald_Hando@Zembwelabeberu Mwisho wa ubaya ni aibu iv chuo Gani kimekufundisha habari iko ivoo??? Alafu wewe unazani uelewa wako na mbowe unafanana really???????๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ