@Sisimizi3 Ungejifunza hata namna ya kupangilia Majina ya Makardinali kabla ya kutunga au kupushi barua iliyotungwa.Mbele ya macho ya wanaojua mambo unabaki wewe na aibu yako😀😀
@PMadeleka Ingawaje lakini, katika usahihi wake wa neno Falsafa,imani na itikadi tajwa hazikidhi kuitwa falsafa kwa namna ya moja kwa moja.
4Rs ni Falsafa kwa Wasio Wanafalsafa.
Lakini kwa Wanafalsafa 4Rs ni Vuguvugu (Movement).
@PMadeleka Katika dhana ya kawaida kabisa falsafa imechukuliwa katika kuelezea jumla ya mafundisho au imani ya mtu ama kikundi cha watu.
Kwa mfano falsafa ya maisha yangu,falsafa ya dini fulani, falsafa ya nchi fulani,na kdhalika.
5️⃣ KWA NINI ALIKUNYWA BAKTERIA KWA HIARI?
Dr. Marshall hakupata ruhusa kufanya majaribio kwa panya/binadamu.
Ili kuthibitisha nadharia yake, alikunywa bakteria wa vidonda vya tumbo!
Matokeo yake? Alijipa ugonjwa, akathibitisha ukweli, na hatimaye akashinda Tuzo ya Nobel.
1️⃣ DAKTARI JASIRI ALIYEUTETEA UKWELI KWA KUJIDHURU
Katika miaka ya 1980, Dr. Barry Marshall aliamini vidonda vya tumbo husababishwa na bakteria, si msongo wa mawazo.
Wenzake walimpuuza.
Alichofanya?
Alijidhuru kwa kunywa bakteria hao!
Soma simulizi yake ya kusisimua. 🧵👇
4️⃣ Zamani, vidonda vya tumbo vilitibiwa kwa dawa za kupunguza asidi tu.
Dr. Barry Marshall alithibitisha kuwa ugonjwa huu unasababishwa na bakteria na unatibika kwa antibiotiki!
Lakini ilibidi ajifanyie majaribio yeye mwenyewe kwanza. 🧵👇