Tupo nyakati ambazo AI (Artificial intelligence) imekuwa na ushawishi mkubwa sana
Jiunge nasi leo usiku kuanzai saa 20: 30 usiku tujadili Fursa na madhara ya uwepo wa AI
Tutakuwa na panel ya wataalamu
@FredMaOfficial@gabyconscious@JSmartmind
Na wengine wengi, Karibu
Ni vizuri kuwaandaa watoto wetu mapama kujifunza ujuzi wa computer,
Changamoto kubwa ni "Ujuzi gani watoto wanapaswa kuanza kujifunza ili kujenga msingi wao katika computer?"
Usikose leo kwenye X-spaces kuanzia saa 2: 30 usiku tujadili
@TOTTechs I will go with i7. Since zote ni the same generation, Core i7 has larger number of cores that i5. Hence, multiprocessing is better in core i7. Na zaidi since RAM ni scalable. Nikihitaji memory kubwa nitakwenda kuongeza RAM.
Maswali yamekuwa mengi juu ya umri sahihi wa watoto kuanza kujifunza computer.
Usikose kuungana nasi kesho Jumapili 24 November kwenye X sapaces kuanzia saa 2: 30 - 4: 00 usiku.
Maswali yatajibiwa.
Kwa kawaida, upi ni umri sahihi wa mtoto kuanza kujifunza mambo ya computer?
Kesho usikose kwenye space hosted by @TechNaSisi kushirikiana na @TOTTechs tujadili kwa kina (2: 30 - 4: 00 USIKU)