@miria24054 kuna nyumba moja nilipanga usiku kulikuepo na mauza uza sana sikulala nilikua navutwa mguu na nilikua na wiki tu nimeamia, nilichukia nikatqka nitoke nje nikae ila nikashindwa asubuh nikaondok nikaenda kununua vitu flan vya kuzuia hayo mambo nilivyofika navyo kwenye mji ilikua us