@JideJaydee Note... wewe ni msanii bora wa kike wa muda wote hapa Tanganyika hata mke wangu akiniudhi huwa namuimbia wimbo wako wa Nasonga mbele anabaki kucheka tu.
@fbuyobe Buyobe ikikupendeza mkuu nipatie tafsiri ya wimbo "No comment shengen" wenge bcbg ibariki jpili ya leo ukifanya ivyo utakutana na muamala wa kitimoto 1kg na grants kubwa. Asante