2027 imebaki miezi 6 tu.
2016 ilikuwa miaka 10 iliyopita.
COVID ilianza zaidi ya miaka 6 iliyopita.
Waliozaliwa 1990 wamebakiza miaka 14 tu kutimiza miaka 50.
Na leo, 2007 iko mbali zaidi kuliko 2040.
Muda unakimbia.
Acha kusubiri. Anza sasa.
Muda huu nitumie fursa hii niwapongeze wanetu ambao ni waislam, ambao mnalewa mapombe, mnavuta masigara, wazinzi ila Kitimoto hamgusi ni Dhambi,. keep it halal wakuu๐๐โ.
Kodi ya frem
Kodi ya serikali
Malipo ya license.
Malipo ya taka.
Malipo ya ulizi.
Tozo ya ushuru.
Usimbeze kijana nayeweza kuweka chochote mezani ,Huu mlima ni mkubwa mno.
Kuelekea Baraza kuu la kihistoria..
Nimesikia sauti yenu, Asanteni sana Watanzania kwa upendo mkubwa.
Ushindi wetu uko karibu sana..
Msiogope, tutashinda.
Wenzako walianza kununua ardhi, kufanya kilimo cha kisasa, kujenga ma fremu, kufanya biashara..nk kabla ya kununua HISA.
Ndio maana leo hii unawaona na hizo Portfolio za 100M, 500M, na 1B..nk
Wewe usiye na umiliki hata wa mashine ya kukamulia Juice ya miwa una peleka kwato zako kununua HISA. Na unajiita mwekezaji, are you even serious Broo!?๐ค