Kwa kumalizia kama umepitwa na madini magari, reviews, na ukaguzi wa gari angalia kwenye tweet yangu ambayo iko pinned.
Hakikisha umeretweet iwafikie wengine na kuniffolow ili usipitwe na Threads zijazo 🚗🕺🏽 📞& Wosap : 0755838047
Cc: @Garishop_Tz
Give a man land, give a man a wife, and don't tell him anything; he will stay there forever. I came, I saw, I loved.
To the beautiful people of Rwanda, Africa is one.
💨 Kufanya Partition katika Pc au kompyuta ni jambo muhimu sana katika kompyuta.
Humuwezesha mtumiaji wa kompyuta kugawa Hard disk yake katika makundi ya storage.
Hapo utaweza tenganisha storage yenye ma-file ya system na yako yenye ma-file binafsi. Hii itasaidia kuzuia...
@funjojr Kwangu Mimi ilikuwa ni Bonge la shangwe kwani sikutamani kusepa nje ya mkoa nilizaliwa kabisa. Na kwenye selform nilichangua shule zoote zinazopatikana na mkoa nilizaliwa.