JALADA #30: -THREAD-
SNIPER NDIO KAZI NGUMU JESHINI PENGINE KULIKO ZOTE!
▪︎Winda Nikuwinde!
Kama ulikimbia hesabu la sita 'C' usiwaze kuwa Sniper, we waangalie wakipita kwenye sherehe za Uhuru & kwenye movie tu!
▪︎Hii hauijui!
KILA RANGI YA KIFUNIKO CHA CHUPA YA MAJI HUWA NA MAANA YAKE.
Hii jana niliiona kaandika kwa ufupi @deokya40 mahali, nikasema au jamaa anataka kutupiga butwaa, nikaenda kuchunguza Reddit ebwana kumbe ni Kweli, Kila rangi ya Kizibo cha chupa ya maji huwa na maana yake "Bottle Cap Language" nashindwa kuandika kiswahili, Lakini ngoja ninukuu kwa lugha ya Malkia.
Mwandishi wa Hii article anaitwa Dicle Belul ambaye ni Certified Holistic Nutritionist.
Kizibo Cheupe (Clear or White): Typically used for regular or purified drinking water.
Kizibo cha Blue: Often used for spring or mineral water. The blue color can evoke a sense of purity and cleanliness.
Kizibo cha Kijani (Green): This may indicate that the water is flavored or infused with natural flavors like lime, cucumber, or mint.
Kizibo Chekundu (Red): In some cases, red caps might signify sparkling or carbonated water.
Kizibo cha Manjano (Yellow): Can be used for flavored or vitamin-enhanced water, usually with added nutrients or electrolytes.
Kizibo Cheusi (Black or Dark Blue): Occasionally used for alkaline or premium water products.
Kizibo cha Pink: Sometimes used for water bottles marketed towards breast cancer awareness or charity events.
Mwishoni mwandishi anamalizia kwa Kusema, Maana hizi hutegemea Watengenezaji au Kanda (Manufacturers and Region),pia ana kazia mtumiaji kusoma Label kabla ya kutumia.
1-Nikusaidiaje-Profesa Jay
2. Tabasamu -Mr Blue
3-Chungwa-Suma Lee
4- Niite Basi-Joslini
5-MacMuga -Ali Kiba
Taja Ngoma Kali ya Zamani Ambayo Mpaka Sasa Unaikubali.
Top 200 military movies 🪖
1. Saving Private Ryan (1998)
2. Full Metal Jacket (1987)
3. Black Hawk Down (2001)
4. Apocalypse Now (1979)
5. Platoon (1986)
6. The Bridge on the River Kwai (1957)
7. Das Boot (1981)
8. The Thin Red Line (1998)
9. We Were Soldiers (2002)
10. The Hurt Locker (2008)
11. Paths of Glory (1957)
12. Tora! Tora! Tora! (1970)
13. Gallipoli (1981)
14. Fury (2014)
15. The Great Escape (1963)
16. The Deer Hunter (1978)
17. Glory (1989)
18. The Dirty Dozen (1967)
19. Enemy at the Gates (2001)
20. Stalingrad (1993)
21. Lawrence of Arabia (1962)
22. The Longest Day (1962)
23. Master and Commander: The Far Side of the World (2003)
24. Inglourious Basterds (2009)
25. Hacksaw Ridge (2016)
26. Dunkirk (2017)
27. 1917 (2019)
28. A Bridge Too Far (1977)
29. Letters from Iwo Jima (2006)
30. Black Book (2006)
31. The Pacific (2010) - TV Mini-series
32. Empire of the Sun (1987)
33. A Few Good Men (1992)
34. Stalag 17 (1953)
35. The Alamo (1960)
36. Zulu (1964)
37. The Patriot (2000)
38. Where Eagles Dare (1968)
39. Flags of Our Fathers (2006)
40. Top Gun (1986)
41. The Last of the Mohicans (1992)
42. Sands of Iwo Jima (1949)
43. The African Queen (1951)
44. Tropic Thunder (2008)
45. The English Patient (1996)
46. Courage Under Fire (1996)
47. A Bridge on the River (1957)
48. Fires on the Plain (1959)
49. Casualties of War (1989)
50. The Enemy Below (1957)
51. Hamburger Hill (1987)
52. The Longest Day (1962)
53. Twelve O'Clock High (1949)
54. Hart's War (2002)
55. Tigerland (2000)
56. The Messenger (2009)
57. Men in War (1957)
58. The Train (1964)
59. Sahara (1943)
60. Attack (1956)
61. The Heroes of Telemark (1965)
62. The Hill (1965)
63. Behind Enemy Lines (2001)
64. The Manchurian Candidate (1962)
65. Patton (1970)
66. Kelly's Heroes (1970)
67. Hornet's Nest (1970)
68. To Hell and Back (1955)
69. Born on the Fourth of July (1989)
70. Saints and Soldiers (2003)
71. Tae Guk Gi: The Brotherhood of War (2004)
72. The Way Back (2010)
73. The Siege of Jadotville (2016)
74. A Midnight Clear (1992)
75. Battleground (1949)
76. The Horse Soldiers (1959)
77. Operation Petticoat (1959)
78. Jarhead (2005)
79. U-571 (2000)
80. The Mountain II (2016)
81. The Red Baron (2008)
82. The Big Red One (1980)
83. Beneath Hill 60 (2010)
84. The Beast of War (1988)
85. Merry Christmas, Mr. Lawrence (1983)
86. Battle of the Bulge (1965)
87. Valkyrie (2008)
88. The Cruel Sea (1953)
89. The Desert Rats (1953)
90. Men of Honor (2000)
91. Midway (2019)
92. The Man Who Never Was (1956)
93. Hamburger Hill (1987)
94. Captain Phillips (2013)
95. Operation Chromite (2016)
96. The Train (1964)
97. Attack (1956)
98. The Heroes of Telemark (1965)
99. The Hill (1965)
100. Behind Enemy Lines (2001)
NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO ZA METER ZA UMEME HASA KWA CIU (REMOTE)
Leo ngoja tuone namna ya kutatua changamoto ya Meter zinaonza na 54, zinazoanza na 37 pamoja na zinazoanza na 43.
𝗣𝗿𝗼𝗴𝗿𝗮𝗺 𝗕𝗼𝗿𝗮 𝘇𝗮 𝗸𝘂 𝗲𝗱𝗶𝘁𝗶 𝘃𝗶𝗱𝗲𝗼 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂
Kama unatumia simu yako kuweza ku share video zako kwenye mitandao ya kijamii program za kuediti video ni muhimu kuwa nazo lazima ziwe kwenye simu yako.
Retweet kisha like tuendelee kujifunza👇
SALA YA MTAKATIFU FRANCISKO.
Ee Bwana unifanye niwe chombo cha amani yako;
• Palipo na chuki nilete mapendo
• Palipo na makosa nilete msamaha
• Palipo na shaka nilete imani
• Pasipo na matumaini nilete tumaini
• Palipo na giza nilete mwanga
• Palipo na huzuni nilete furaha.
Ee Bwana unisaidie nitamaini sana:
• Kufariji kuliko kufarijiwa
• Kufahamu kuliko kufahamiwa
• Kupenda kuliko kupendwa.
Kwa kuwa:
• Ni katika kutoa ndipo tunapokea
• Ni katika kusamehe ndipo tunaposamehewa
• Ni katika kifo ndipo tuna zaliwa katika uzima wa milele, AMINA
UTARATIBU WA MKRISTU MKATOLIKI KANISANI👇🏻👇🏻👇🏻
•Ninapoingia Kanisani, nachovya maji ya baraka na kusema "Unitakase Ee Bwana mimi na uovu wangu wote, ili nipate kustahili kushiriki ibada takatifu' Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu" Amina!
•Ninapiga goti huku nikisema: "Mungu wangu na Bwana wangu"
•Nikiinuka nasema: "Nitakusifu na kukuabudu katika Ekaristi takatifu"
•Naenda mpaka kwenye bench, napiga magoti au nakaa nikiwa mimeinamisha kichwa (kama mabenchi yameisha nabaki nimejisimamia) huku nikitoa nia yangu ya kusali Misa siku hiyo, mfano:
"Ee Mungu, ninaungana nawe na jeshi lote la mbinguni, pamoja na Mama Bikira Maria, nikiwa na nia ya kumwombea mama yangu ambaye ni mgonjwa, jirani yangu ambaye mpaka sasa hatuelewani na pia familia yetu ambayo haina amani, Mungu kupitia misa hii rejesha hali ya mama yangu, rejesha uelewano na jirani yangu, na pia rejesha amani ya familia yetu pamoja na familia zote ambazo hazina amani"
•Ninaendelea na Misa na Kushiriki litrujia kikamilifu.
•Wakati wa komunyo nikikumbuka kuwa nina dhambi kubwa huwa nakominika kwa sala ya tamaa wala siendi mbele, huwa najikalia tu kwenye bench naangalia wenye moyo safi wanaenda mbele kumpokea Yesu (Kweli huwa najisikia wivu sana, itanibidi katikati ya wiki nifanye kitubio ili nisikae tena)"
•Mwisho wakati wa kuondoka nachovya maji ya baraka nikisema:
"Unilinde Ee Mwenyezi Mungu, nikapate kuwa mfano katika jamii yangu, na nikushuhudie katika matendo yangu"
(Hapo nachovya maji ya baraka na kufanya ishara ya msalaba) "Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu, amina"
Je, huwa tunafanya hivi wote? C&P