@bajabiri Huwezi dhalilisha wanawake kupost nguo zao za ndani ukakakilwa kimya,ni kinyume cha utamaduni wetu...kweli unapost nguo ya ndani (chupi) wanavaa mama zetu,dada,shangazi zetu na jamii yetu ya jinsia binafsi sipendi na niudhalilishaji, nguo za ndani zinahifathiwa,nguo za siri.
@SuphianJuma@SuluhuSamia Tuwalindie heshima wazee wetu,kumbuka Kuna waziri alisema ikilu sio mortuary...yalimkuta nn? Tuwe na akiba ya maneno vijana,warioba ana tunu kubwa SANA kwenye hii nchi,usijisahaulishe huyo ni jaji mstaafu na.......wewe ni Nani?@SuphianJuma