Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” kitakachoanza katika mchezo wa AFCON Kundi F dhidi ya DR Congo kwenye uwanja wa Amadou Gon Coulibaly, Ivory Coast.
@CAF_Online@TaifaStars_#AFCON2023#AFRICANFOOTBALL
CAPTAIN LA NCHI LIPO CAIRO : Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amejiunga na kambi iliyopo Cairo, Misri kujiandaa na AFCON 2023, Ivory Coast. @TaifaStars_@Samagoal_77
Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” kwa michezo ya kufuzu Kombe la Dunia vs Niger na Morocco, leo saa 3 usiku hapa hapa @tanfootball mchezaji gani unatamani awepo? @TaifaStars_
Ofisa Habari na Mawasiliano TFF, @ClifordMario ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa Habari wa mchezo wa ufunguzi wa African Football League (AFL) Simba SC vs Al Ahly utakaochezwa Oktoba 20, 2023. @simbasctanzania@AlAhlyEnglish
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amenunua tiketi 2,000 kwa mashabiki kuelekea mchezo wa marudiano kufuzu AFCON 2023 vs Uganda utakaochezwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewasilisha ujumbe huo.
Ofisa Habari na Mawasiliano TFF, @ClifordMario ameteuliwa na CAF kuwa Ofisa Habari wa mchezo wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) Simba SC (Tanzania) vs Raja CA (Morocco) utakaochezwa Februari 18, 2023 Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.
@cafclcc
Timu ya Taifa ya wanawake U17 Serengeti Girls imefuzu hatua ya robo fainali kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2022, India.
@azamtvtz @serengetigirls @FIFAWWC
Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” kitakachoanza kwenye mchezo wa kwanza wa Kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA dhidi ya Uganda utakaoanza saa 2:00 usiku
@TaifaStars_@azamtvtz
Kikosi cha Timu ya Taifa “Taifa Stars” kikiwasili kwenye uwanja wa Modern, Benghazi, Libya kwa mchezo wa kwanza wa Kirafiki kwenye Kalenda ya FIFA dhidi ya Uganda utakaoanza saa 2:00 usiku