@julip202 Hiyo ni bei ya kununua njia, kwa sababu njia ni laki 7 hadi 1mil inategemea na ukubwa ukitaka viwanja vizuri kwa kulipia kidogo kidogo waone @MSland_ltd
@MyahudTz007@julip202 Usidanganye mtoto wa watu, hao wa dodoma wanapanga mipanho ya maendeleo vijijini, hao wa ardhi wanapanga miji wapi likae soko wapi ikae shule? #MS