@HildaNewton21 Daaaah sijui nani anawalipa kuharibu Nchi yenu kama taarifa inaukweli mbona video inachezeshwa kama biti la singeli.....Hizo sio harakati huo ni ushamba
SINEMA INAENDELEA : Mwanaharakati Maria Sarungi, Hilda Newtown na Twaha, walivyokutwa kwenye kikao cha siri huko Nairobi cha kutengeneza sinema ya kupotea kwa kijana msaidizi wa Tundu Lissu ambaye hafahamiki hata na familia ya Tundu Lissu.
CHADEMA wala waje na kitu kingine ila hili la kujiteka, ni sinema kama sinema nyingine na Watanzania washazishtukia.
Huyu jamaa mlinzi @daviddjumbe alivyoona boss wake @TunduALissu hatoboi na kesi ya uhaini akaamua akimbie zake Kenya kama watesi wenzake wakina Maria na Hilda waliopewa ufadhili na kulipwa dola 700 kwa mwezi kuleta machafuko nchini
@HildaNewton21 Kwa viwango vyote vya kidunia, Yaani hata Malaika na Mitume na Maswahaba wote watoke mbinguni leo kisha Waulize nani alihusika na jaribio la mapinduzi la 29 October 2025? Jibu lao la kwanza itakuwa ni CHADEMA kwa mazingira yoyote, kisha wataanza kutajwa wengine huko.
@godbless_lema@rugemeleza Kwa viwango vyote vya kidunia, Yaani hata Malaika na Mitume na Maswahaba wote watoke mbinguni leo kisha Waulize nani alihusika na jaribio la mapinduzi la 29 October 2025? Jibu lao la kwanza itakuwa ni CHADEMA kwa mazingira yoyote, kisha wataanza kutajwa wengine huko
NEVER AGAIN.
@ChademaTZ2 Afu hawa CHADEMA wasije kuwa na Agenda za siri za kutuuza kwa mabeberu hawa kwanini hivi vitaasisi vinajitokeza sahivi huku Nchi ikiwa shwari, afu hichi Kitaasisi kinafanya kazi kwa misingi ipi usije ukawa ni mkakati wa kututoa kwenye hali yetu ya amani iliyopo
@Sativa255 Ukikosa ajenda unajikuta unakusanya kila kitu.......hii video ilikuwa ya mwaka 2023 na ilitokea mkoani Kagera kipindi hicho RC akiwa CHALAMILA akiwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera na tayari alishachukuliwa hatua.
@Ntobi_@godbless_lema Chama kishapoteana hiki ona kwa sasa kinaongozwa na Mwenyekiti Kivuli Maria Sarungi kapandikiza chuki baina ya wanachama hadi hatuelewani tena kama zamani......siku zote wastaafu ni mhimili wa Chama lakini sisi tumewatenga wazoefu wote daaaah hamna Chama hapa, wamebaki wapigaji t