Twelve years of fatherhood, friendship and mentorship. Great spending a quality evening with Dr. @mshindah, Tanzania's finest. For more blessed days ahead of us, InshAllah.
"Tuko hapa kujifunza lakini pia kuweka mikakati ya kuwasaidia wanawake wafanya biashara wa mipakani" Dkt Rose Reuben ~ Mkurugenzi @TAMWA_#SaveWomensTrade#ZuiaUkatili
Feb 22, 2022 Dodoma, @TAMWA_ kwa kushirikiana na @eassigender wanaendesha mdahalo unaoshirikisha Wizara, Wabunge, Asasi Za Kiraia na Wafanyabiashara Wanawake unaolenga kuinua wanawake wanaofanya biashara mipakani na kuangalia namna ya kutatua changamato zao. #SaveWomensTrade