Macho yako, ngozi yako, hata meno yako hata mahusiano yako ya kimapenzi😍 yanaweza kuashiria kisukari.
Usingoje dalili kubwa – #VunjaUkimya leo - Ongea na mtoa huduma wako, Pima sukari yako 👀🦷
Usikose leo saa Saba Mchana tukijifunza pamoja kuhusu dalili kemkem za kisukari.
VUNJA UKIMYA ➡️ ZUNGUMZA NA MTOA HUDUMA WAKO.
Dalili za Kisukari zinaweza kuonekana ni kama mabadiliko ya kawaida na hivyo ni rahisi kuzipuuza.
Uonapo dalili hizi Vunja ukimya - USILAZE ZEGE - Zungumza na mtoa huduma na shauriana nae kuhusu vipimo stahiki.
#diabetes#kisukari #afya