@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@DullahTheking2@MissChelsea1221@Balyx_ Nilifikiri Mbunge angewapigania kwanza wanaokizi vigezo wapate mtu ana checti na umri upo sahihi unatuma maombi lakini hakuna lolote kuna wanangu tangu waanze kutuma maombi mpka sahivi hakuna chochote sema ngoja tutume tena this time labda Mungu atatuona sema changamoto kichizi
@LikiJamesJ@AmaniMahamudu8@PMadeleka Umemfafanulia vyema sana kwenye matamko ya Kanisa Katoliki ni Balaza linaamua nini kifanyike na nn kizungumzwe na si Cardinal
@kasugugu_@EmmausAskofu Kwani huyo Askofu amekosea wapi au kumwombea Rev Fr.Charles Kitima apone haraka ni anahamasisha uhasi kama unaona huna cha ku comment ni bora ukae kimya si unaandika vitu kumbe ni upumbavu