Inawezekana fatuma nyumbani kwenu huwa huna wakubwa lakini waliofundwa majumbani kwao wanajua nafasi ya spika na heshima anayotakiwa kufanya na ukumbuke spika ni mkuu wa mhimili so wakati mwingine mtu akikuangalia ukiwa unaongea utadhani umeathirika kisaukorojia
Wakili wa @zittokabwe@fatma_karume katika Kesi dhidi ya Spika Ndugai amesema hakuna sababu ya msingi ya Spika kushindwa kujibu ndani ya muda na anapaswa kufuata sheria. #KwanzaHabari
Nikiunganisha uchumi wa SGR, Ndege na Umeme wetu, nikiunganisha na uchumi wa gesi na viwanda, naiona Tanzania tofauti kabisa ifikapo mwaka 2025. Namuelewa Rais wetu na ndoto yake na najua kwa nini alifanya maamuzi haya magumu, muhimu na ya lazima. Lazima alifumbuliwa na MUNGU tu!
Mwakati mwingine kama maandiko hamuyajui kaeni kimya msijidharirishe
Viongozi wa dini wapo duniani kuwaokoa wenye dhambi
Kama mnamuona JPM ni mwenye dhambi basi waacheni viongozi wa dini wamwokoe kutoka kwenye uovu
Na hakuna mbingu yenye visasi na uzandiki
SHUBHAKENGEMITI
@ngurumo Mjinga atabaki kuwa mjinga
Kwa hiyo huyo Benjamini wa chato ndio alimtuma CAG aende marekani kuropoka kuwa Bunge dhaifu
Si mlijifanya mnajua sheria na mkampa mhimili. Mwisho wasiku CAG anajua Bosi wake ni nani aliitikia wito na hana shida na nyie lakini nyinyi mikundu imewatuna
Dada maria
Ukiwa na mke usimfananishe au usitoe mfano kwa mwanamke wa jilani
Mbona mama fulani anafanya hivi wewe huwezi!!!!!
Au mbona baba fulani mke wake anamruhusu kuvaa kimini
Kama unaona anakufaa waziri wa Ethiopia hamia huko usikae kulinganisha Tanzania na Ethiopia ππ
Waziri Mkuu Ethiopia Abiy Ahmed akieleza mabadiliko aliyoyafanya.
Sasa hakuna mwandishi wa habari hata mmoja jela na kawaalika upinzani kujenga demokrasia
Mabadiliko Afrika yanawezekana tena all we need is open mind and open heart
#ChangeAfrica#ChangeTanzania#TutaelewanaTu
Kwa Akili hizi za Kuona Chama ni Zaidi ya Dini, mmeshafeli kwa kila namna...
Mbunge Wa kawe kwa tiketi ya Chadema Mzee Halima Mdee amewataka Watanzania Wote kususa kwenda Kwenye Nyumba za ibada kuabudu kwa kuwa Viongozi wote Wa dini hivi sasa Wanamuunga Mkono Rais Magufuli.
Sasa fatuma unadhani kila anaekuhoji lazima awe nyumbu umpeleke unavyotaka wewe?
Mbona wewe unawakera mpaka viongozi wa juu na hawasemi chochote
Eti usinikere ππππππ
Na bado laana ya ushoga itawatafuna sana
SHUBHAKENGEMITI
Hawa wanao muhoji kwania njema tu niwahandishi wa habari, sasa ona jazba inavyompanda mahakamani akikutana na mawakili wenzake wenye vichwa vilivyotulia sijui inakuwaje. Najifikirisha kesi ngapi ashawahi kushindaπππ. @kwanza_tv @fatma_karume@UsalamaWaTaifa@TanganyikaLaw
@Fugitive66_@neemajoshuar1 @ChademaMedia Nadhani ni kuanzia hapa ndipo aliponywea na kuacha kumuita mtangazaji "STEVE" na kuanza kumuita "MR. SACKUR".
Chezea kibano weye.
Lakini akimzungumzia Rais wake anatumia kila aina ya lugha za kejeli.
ASIEFUNDWA NA MAMAE, TZ
ATAFUNDWA NA BBCHARDTALK
Shubaaaamit.
Rais ni mbaya kwao
Spika ni mbaya kwao
Mahakama ni mbaya kwao
Polisi mbaya kwao
Jeshi ni baya kwao
Tiss ni wabaya kwao
Basi ni nani mzuri kwao na wanauhakika gani kuwa wao hawafanyi makosa maana taasisi hizi zinasimamiwa na binadam kama wao hata kama kuna mapungufu sio kila sku
@kimsungson @HStephanol@Yahya_Kifyatu BUNGENI hatutafuti Ushindi ila UFANISI atafanikiwa saana UKWELI unajisimamia kuna mambo yatakuwa nabushaiwhsi akijenga WELEDI na SHEEIA hii ya MSAJIRI itapata aidha tafsiri pana na tija
@JuniorSmwl@MagufuliJP Mtu Ambae hakufunzwa kwao utamjua tu
Watu wako msibani wewe unaleta Mambo ya kijinga na ndio maana wakati mwingine huwa tunachekwa na majirani zetu hoja iliyopo mezani ni msiba mjinga usiefunzwa na mama yako unatuletea ufala hapa
Sasa unataka watu wote wafuate unachokitaka wewe na si taaluma yao?
kila siku ni kuombea vurugu hata siku moja hamwazi inchi kuwa na amani na ndio maana mnafanya siasa mpaka za kipumbavu na tumewaangalia tu ole wenu kama mnawaza watanzania mil 55 wanaakili kama zenu
Kama Mahakama inafunga milango yake kuzuia raia kutafuta haki na kulinda Katiba, raia atafanya nini? Tunakoelekea kama nchi ni nyakati hatari kabisa. Raia wakikosa imani na mahakama matokeo yake ni vurugu......
ππππππππ
Maria Sarungi anasema siku hizi Tanzania kuna mihimili minne ambayo haitakiwi kuingiliana kiutendaji
Serikali
Bunge
Mahakama
C.a.g
Hii ripoti ya CAG kama kweli Bunge hawataki kuijadili, prof Assad na ofisi yake watuletee moja kwa moja wananchi tuichambue. Ripoti inapelekwa Bungeni ambapo kuna wawakilishi wetu si ya Bunge. Mwisho wa siku ni mali ya wananchi wa Tanzania
#TutaelewanaTu#ChangeTanzania
Na wewe tukuulize swali wewe ni msemaji wa CAG
hata sielewi mnatetea ujinga gani hapa kwa huyo CAG haijui office ya spika mpka aende kuropoka kwa hao mabwana zenu ?kweli akili za kuambiwa changanya na zakwako
@RamseyKing10 Kwamba sio mambo yanatekelezwa haifanyi Bunge kuwa dhaifu. Hata yeye CAG hafanyi yote. Hata ngazi ya mtu moja moja hakuna anayetekeleza wajibu wake kwa 100%. Wewe mwenyewe haupo perfect na kuna mambo kibao ulipanga kufanya 2018 lakini hukufanya. Kwa hiyo nawe ni dhaifu?