@Cowwbama Vijan tujitahidi tuwe na bima hata hizi nhif zinaokoaa sana. Na kwa watoto ni muhumu mno bora sisi watu wazima tunaweza kukaa hata miezi 6 hatujaugua sierious
@trinnie_love@MarekaMalili It apply to all health centres,in different approaches unamuelezea nasikia kichwa kinauma anakupima na mkojo,choo, maleria na damu..what hell?
@Dee7_Legend @Mwangosijnr Mwanaume mfu ni yule anayeweka imani kuwa mkewe hachakatwi nje. Wa akufa vibaya sana hawa. Mtu umekutana nae ukubwani umemkuta sio bikra na bado unaimani hapigwi miti kama sio ungese ni nini
@Hon_KibayasiF Kaka kwa hizi Aptitude test nahisi hata wao wenyewe wanatumia chatGPT kutunga mtihani
Juzi nilienda mtihani wa Geography (mwalimu III C)
Nimekuta maswali kama 12 yapo kama yalivo hakuna kilichodadilika yani hadi mpangilio wa vichaguzi
@flahisha Bro kufilisika ni suala rahisi sana, unavoona unapata laki ikaisha is the same inavoisha bilioni kama mgeni na kushika shika pesa, utaona ni story tu
@kasesco_tz Branch wanadai kistarabu ila hawasau.Huu mwaka wa nne bado wananidai.
Ila hao pesa X ni kiboko, jana wamempigia simu mama mjengo kuwa nipo kituo cha polisi cha Kilwa road atume pesa waniachie
Mama mjengo akawajibu huyo ni tapeli mkitaka mfunguneni tu wakaishia kukata simu🤣🤣
@LifeofSteph_1@explorer97732 Sina hamu na ajira portal.
Application 18
Not selected 10
Not shortlisted 2
Selected for oral interview 6
Mpaka leo nasaga meno