@kamtukambao Kuna wengine hawajazaa lakini hawana, kuna wengine pia wamezaa lakini hawana pia, tunahaitaji ufafanuzi zaidi.. Na kwa nini huwa kwa baadhi kama ni baada ya kuzaa inakuwa ivyo?
Kisha internet hiyo husambazwa ndani ya nyumba kupitia Wi-Fi.
HOME INTERNET HUTUMIKA KWA:
▪️Kutazama YouTube na Netflix
▪️Kusoma online
▪️Video calls
▪️Michezo ya online
▪️CCTV na smart devices
▪️Kazi za ofisini nyumbani