Jana usiku amelala mahabusu na wamemnyima dhamana. Wamekuja nyumbani asubuhi ya leo, wamekagua nyumba nzima. Wameendelea kumshikilia kwa madai kua bado wanamhoji. Na hata baada ya kumaliza kumhoji, bado hawataki kumuachia kwa dhamana wala kumpeleka mahakamani. kwanini???
Kutoa taarifa au maoni ni haki ya kikatiba ya raia yoyote na iko chini ya ibara ya 18 kama #UhuruWaKujieleza
Kama kiongozi na raia @zittokabwe ametumia haki yake. Polisi kumhoji kupata uelewa zaidi isiwe sababu ya kumfunga bila mashtaka
#JusticeForZitto#JusticeForZitto
Mhe Zitto kasema na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimehusishwa. Wanasiasa wa Upinzani waachwe wafanye kazi yao. Mtuhumiwa asiwe Hakimu. Serikali ijibu hoja kwa vielelezo. Ikilazimu iunde tume huru za uchunguzi. CHADEMA tutasimama na ACT. #Justice to Zitto #Justice to Opposition!