@chapo255 Hapa kuna baadhi ya bidhaa zilikuwa sio zao ,wao walikuwa wanatumika tu kwa ukubwa wa majina yao.
1.CHIBU Perfume ilikuwa ya RUGE na KUSAGA
2. DIAMOND Karanga nayo ilikuwa biashara ya mtu
3. Mofaya ya KIBA ilikuwa si ya kwake pia.
Wengini zilikuwa za kwao na ndogo ndogo