@anuskills3 Shida inaanzia kwa Mudathir kiungo kugusa mpira mara 3 hadi 4 ndio uachie mpira team haiwezi kuwa na spidi nzuri
Na katika touch zote hizo bado anaweza akaopt kupiga backpass
@DynamicsNation_ Kwangu Nikki ni habari nyingine kabisa hajawahi kulilia airtime hao tunaowaona ni magodfather kama wasipoenda kwenda njia ya haki kwake si chochote Nikki kaimbia mauaji ya oct29 Nikki kaimbia katiba mpya na umuhimu wake
Nikki yupo mpaka sasa kwa sababu ya kipaji chake tu
@SEGGA101@DynamicsNation_ Ubora wa hizi nyimbo ulienda sawa na kipindi clouds media kwenye vipindi vya burudani wanafanya vizuri vipi kuhusu sasa hivi ubora wa vipindi vya mchana vya media nyingine na ubora wa joh