How much it cost us to drive across 7 Southern Africa countries in 36 days. This is in response to the questions a lot of people have asked so they can also prepare for similar trip
In overview: 13,663KM, 8 people, 2 cars, 36 days
Jana mimeangalia watu wanatoka kanisani kwa makanisa mawili tofauti:
Asilimia kubwa ya waliotoka kanisani walikuwa ni wanawake na watoto. Kinababa (siyo vijana) walikuwa wa kuhesabu.
Yawezekana kinababa walibaki ndani kidogo; lakini kwa makanisa yote mawili?
Kama siyo hivyo, Christian fathers, we have something to do.
Trends hazitofautiani sana kwenye mikusanyiko ya vikao shuleni. Mungu atusaidie. 🙏
Hello wapendwa..
Kama leo huna ratiba, ama ratiba haijakubana, nakukaribisha Diamond Jubelee Upanga kuanzia saa 5 hii mpaka saa 12 jioni kwenye Kusanyiko kuu Tutamsifu Mungu, tutamuabudu na tutapata Neno.
Karibuni sana
Tuna kubembeleza kila siku ugeuke uachane na uovu umwamini Yesu,
Wee,
Ooo subiriiiiii!
Bado mapemaaaaa!
Tupime upepooooooo!
BADILIKA ACHA DHAMBI YESU ANARUDI.
Timing ni muhimu sana..
Lazima uzingatie context kabla ya ku-launch campaign yoyote.
2017 Airbnb walizindua campaign ya “Floating World,” Nyumba inayoaelea ndani ya maji
Hii ni moja ya makosa makubwa ya marketing yaliyosababishwa “bad timing”.
Kwanini BAD TIMING? 1/2👇🏾
Habari ndugu. Natafta ajira ya udereva nipo Dar-es-salaam driving license D from VETA pia nina diploma katika kada ya ununuzi na ugavi. Kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia nitashukuru sanaa...
YESU KRISTO KARIBU ANARUDI,
UKIWEZA KUOMBA TOBA KUTWA MARA TATU KAMA DANIEL OMBA✍️✍️
TENGENEZA YA NYUMBANI MWAKO MAANA HATUJUI SIKU WALA SAA ILA BADO KITAMBO KIDOGO SANA MAANA MAANDIKO YAMEELEZA KWA HABARI YA SIKU ZA MWISHO 🤌🤌