hiyo ni zile za ukutani tu hazina CIU.
kama Namba yako ya Meter inaanza na 24 tafuta jirani yako ambaye nae inaanza na 24 alafu ingiza code hizi kwenye Remote ya jirani yako
0+namba ya meter ya kwako+0+ namba ya Meter ya kwako + OK
mfano 024315613912024315613912 OK
Kupitia shauri la kikatiba No. 7300/2006 linaloendelea katika mahakama kuu, masijala ya Dar Es salaam, Tundu Antipas Mugway Lissu amezidi kujidhihirisha kama mchawi wa sheria “Law Sorcerer”
Ifahamike kuwa, Lissu ni specialist wa “Environmental Laws” taaluma aliyokuwa akiitegemea kumpatia mkate wake wa kila siku kabla mambo hajambadilikia alipoamua kujiingiza kwenye siasa za upinzani nchini.
Kupitia misukosuko anayoipata kwenye siasa, Lissu ameweza pia kuuthibitishia umma uwezo wake mwingine kwenye Criminal and Public Laws.
Kwenye Criminal Laws, Lissu ameweza kuonesha uwezo wake alipowatetea wamiliki wa @JamiiForums akilinda sera za faragha za mtandao huo. Kesi hiyo ilikuja kuzaa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi.
Mwaka 2011, Lissu alijikuta akisota rumande wilayani Tarime mara baada ya mauaji ya wananchi wanne ambao ni Chacha Ngoka wa kijiji cha Kewanja, Emanuel Magige wa Nyakunguru, Mwikwabwe Marwa na Chawali Bhoke wa Mugumu.
Wananchi hawa waliuwawa kwa risasi za polisi waliodai kuwa marehemu walivamia eneo la mgodi wa Nyamongo. Katika sakata hili, Lissu alijikuta akichaniwa nguo na kuwekwa makwaya.
Kwenye Criminal Law, nyayo za Tundu Lissu ni nyingi zinazoweza kuwachosha kwani hadi niandikapo, Lissu yupo mahakamani akijitetea kwa kesi ya uhaini.
Kilichonilazimu kuinua kalamu yangu leo, ni masterpiece cross-examination ambayo Lissu amemfanyia jana mkuu wa Gereza la Ukonga anakoshikiliwa hadi sasa.
Jana, Lissu amefanya nimvulie kofia nyingine kwenye issues za Public Laws ambayo hujumisha Constitutional na Administrative Laws.
Kwa jicho la kisheria, jana Lissu amefanikiwa kuivunjavunja credibility ya ACP, Andrew Shabani Ntamamiro, Mkuu wa Gereza Ukonga,
ACP Ntamamiro, kwa kuchanganyikiwa na madodoso yaliyokuwa yakimpandisha na kumshusha, alijikuta nyakati nyingine akijicontradict, akikili uongo wake na nyakati nyingine kwa kupitiwa, mkuu huyu wa Gereza alionesha wazi kuwa hana liability yoyote ya kufata orders za mahakama jambo ambalo liliwalazimu majaji kuwa wakali dhidi yake na kutaka kutunisha misuli ya muhimili.
Tuanze kwanza na sababu za kesi hii ya kikatiba.
Msingi wa kesi hii ni malalamiko aliyokuwa akiyatoa Lissu kwenye kesi yake ya uhaini
Kuwa, ananyimwa haki yake ya usiri (confidentiality) anapokuwa akiwasiliana na mawakili wake kinyume cha sheria. Hapa Lissu alieleza jinsi mkuu wa gereza la Ukonga alivyokuwa akitoa maelezo kwa wasaidizi wake, kusikiliza maongezi ya Lissu na mawakili wake kila waendapo kumtembelea gerezani.
Pili Lissu anadai kunyimwa haki yake kuonana na kuwasiliana na baadhi ya mawakili na viongozi wengine wa chama chake. Kuwa Mkuu wa gereza Ukonga amekuwa akiwajibu watu hao hawapo kwenye orodha ya watu ambao Lissu aliorodhesha wamtembelee kinyume cha sheria.
Hapa ndipo nilipoushangaa zaidi utulivu wa Tundu Lissu katika kupanga mikakati ya kesi yake.
Ni kwamba Lissu alihakikisha anaielezea mahakama wazi juu ya kunyimwa haki hizi katika kesi yake ya uhaini.
Hapa Lissu hakujali kama orders ambazo mahakama zitaitoa kwa Jamuhuri zitatekelezwa au kutotekelezwa. ( kwa kuamini kuna muhimili unaohisi umejichimbia zaidi)
Lissu alichojali ni madai yake tu kuwa “on record” kwenye mwenendo wa kesi yake ya uhaini.
Baada kuhakikisha hilo limefanyika, Lissu akajikita kwenye kukusanya ushaidi usio na chembe ya mashaka.
Hapa Lissu akakusanya orodha ya wageni wote waliomtembelea mahabusu, pamoja na maoni ya mkuu wa gereza aliyokuwa akitoa kwenye majina ya wageni wale.
Maoni mengi yakitoa sababu ya kuzuiwa kumuona Lissu, na mengine yakielekeza mazungumzo ya Lissu yafuatiliwe kwa karibu.
Ni vyema sasa tukianza kujiongoza kwenye mahojiano kati ya Lissu na mkuu wa gereza ili kuona jinsi ubongo huu ulivyobarikiwa kipaji cha hali ya juu cha taaluma ya sheria.
Nilichelewa sana kufahamu hii ya kuunganisha Sound Bar na HDMI, Napata mziki mtamu mpaka rahaa..
Optical wire na Bloototh sio za kuconect na Sound Bar aisee.
💨 Hapo Kenya kuna shule inaitwa Tenri wanafanya uchaguzi wa President wa Primary school yao.
Namna hao watoto wanavyopiga kampeni ni full michezo 😁 wanaombewa wafanye mdahalo Citizen TV.
🚨 BREAKING: José Mourinho back to Real Madrid, HERE WE GO! 💣🤍
All terms have been verbally agreed between José Mourinho and Real Madrid, waiting to sign all documents.
Plan for initial two year deal, JM to travel to Madrid after Real-Bilbao game.
The Special One is back.