@Charllote100 The only problem ya Twitter kila mtu anajiona anajuaa saana kuliko hata mwenye professional yake…kuna maeneo huwezi kufanya cosmetic, hapo condition ya wound iko vzr tu. Hapo wakotoa nyuzi itakaa sawa.Tuache ku attack vitu ambavyo hatuna uelewa navyo badala ya kuuliza
@tanna_tz Yes this is TANNA🫡👏🏻👏🏻📌, we are tired na habari sa uzushi na hawaoni wengine zaidi ya “wauguzi”, wanapandikiza chuki kwa jamii juu ya Wauguzi. Asante sana. YOU HAVE SAID IT ALL📌💐💐💐
As a nurse we have the opportunity to heal the mind, soul, heart, and body of our patients. They may forget your name but they will never forget how you made them feel😊👩🏻⚕️ … thank you @iambasilius 🙏🏾😊
@MarekaMalili Kitanzi ni njia nzuri na umeeleza vizuri, ni among the best kwasababu ina maudhi madogo madogo, changamoto hua ni utofauti ma umaumbile lakin ni njia nzuri tu.
@MrShitcoin_Tz@IdrisSultan Hello! hakuna mtu anae weka uzazi wa mpango bila yeye mwenyewe kuchagua, na kila anae tumia njia yoyote ya uzazi wa mpango lazima ambiwe kila njia na kila njia uzuri wake na maudhi madogo madogo yanayo jitokeza kwa kila njia, na mteja ndie anae chagua njia gan ipi itamfaa.
@mokertz__ Hakuna muuguzi atavaa truck suit kazin! Hakuna muuguzi atakubadili pampas bila kuvaa gloves.. siku moja moja muwage mnajiongezaaa sio mna comment chuki kwa wauguzi. Huyo moja kwa moja ni ndugu wa mgonjwa. Punguzeni makasiriko na waaguzi 📌