Siasa za panAfricanism Tanzania ziliisha na Nyerere. Utaona wanasiasa wanazungumzia “tukio likitokea” ila hutaona siasa hizi zikiwa sehemu ya hotuba zao kwenye ziara na kazi zao za kisiasa za kila siku. Hatuna tena itikadi na maono, tunachumia tumbo.
I said what I said.
@WizarayaUC@mwigulunchemba1@KassimMajaliwa_ Tunaomba utatuzi wa Tanzania East Africa Gateway Terminal , gari zinakaa siku tatu katika foleni ya kushusha kontena bandarini, terminal hii ni changamoto katika export cargo, pitia shimo la udongo na kitopeni foleni