Hii aina ya muhogo ijulikanayo kwa jina la CHEUPE.
Shambani utaiweka kwa miezi 4 tu,ndio mihogo inayopendwa kwa sasa kwakua ni milaini na inaivaa kwa haraka ambayo imeiteka Soko la Dar.
Mche mmoja hutoa wastani wa kilo 8 hadi 15.
Na ekari moja utaingiza wastani wa miche 1778.
@rollymsouth Na ndio chama kinachopoteza muda hakina hoja, harafu cha ajabu ni kupoteza muda hakina hoja lakini viongozi wake na wafuasi wanakamatwa kila kukicha. Hahahaaaaah...!
@rollymsouth Kuna haja ya kuhoji elimu yake, na kama amesoma basi alikua H kunani. Hawezi kuibeza hesabu hivo uenda kwa kazi zake quadratic eqn sio muhimu, harafu ambacho hajui sayansi imesaidia wengi sayansi haijawahi kumtupa mtu.