@tagatojtagato Makocha wa Kitanzania ndiyo maana wanakwama kwa sbb ya chuki na husuda badala ya ukweli wanaishia kuzunguka Mbeya city,Namungo,Mbeya kwanza.Hata yeye angekuwa kocha mzuri asingekosa timu hata Burundi!! Kina Kaze wanaajiriwa nje ya Nchi yao,kina Mwambusi wamekalia chukk na wivu.
@bwaya@SalimuIbwe Ww unaongea kwa sbb huwa unapanda ndege,fikiria idadi ya watanzania wenye uwezo wa kupanda ndege,hao wapandao ndege hupelekwa na kufuatwa airport na magari private hawapandi daladala.
@cleansheet_1 Huyo Mohamed Hussein alikuwepo miaka yote hatukuwahi fika hata nusu fainali CCC wala CCL,mwaka jana tumecheza fainali na Kibabage,kipi bora hapo?