@gagagigikokoan@EngMapundajr Shida kubwa yetu ni kukalili Dodoma inakimbia sana kiujenzi wa majengo ya kisasa na nguvu kubwa ya serikali nadhani kwa sasa dodoma ni ya tatu tukitoa Dar na mwanza inafata dodoma Tusiwe tunakalili vitu tuwe na kukubali mawazo mapya
@ercurryTz Shida kubwa yetu ni kukalili Dodoma inakimbia sana kiujenzi wa majengo ya kisasa na nguvu kubwa ya serikali nadhani kwa sasa dodoma ni ya tatu tukitoa Dar na mwanza inafata dodoma Tusiwe tunakalili vitu tuwe na kukubali mawazo mapya
@jonasamos4 @SanduUlemo@Jambotv_ Dodoma ingeanzishwa kanda maalumu za kipolisi naona ingesaidia maana dodoma ya leo ni kubwa sana na inaendelea kubwa siku hadi siku
@JrMalcolm88@Tanganyikan Dodoma gani mzee unayozungumzia mbona umeng'ang'ania hivyo bei ya viwanja iko juu mzee ebu tuache kudanganyana kizembe namna hii